Jiji la moto hilii

Jiji la moto hilii

Daah haki ya mungu mabinti vigori mmelegea sana

Mmeshindwa na hiki ki bibi aisee kimeweka ndani buzi 2 za nguvu halafu we unalia lia hakuna waume
 
Pita hapo msibani,mashangingi wote wa mjini wamejaaa
Pombe za kumwaga,ila hakuna kulala msibani kalale kwenu
Any way naona kesho watazika kinondoni

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nna mambo mengi mnoo.
 
Nimewaona kwenye mazishi front kabisa Tom Kisusi, chris Lupembe na Ben Kinyaiya, basi tu machale yakaanza kunicheza ukizingatia huyo anaesemwa mtoto wa marehemu hakupewa kipaumbele kabisa nikiunganisha doti na huyo mzee wa kimarekani mzungu basi kichwa kinazunguka hatariii. Mji huu wa Daslama una mambo mazito sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umewaza nn sasa nawee?? Khaaah
 
Nimewaona kwenye mazishi front kabisa Tom Kisusi, chris Lupembe na Ben Kinyaiya, basi tu machale yakaanza kunicheza ukizingatia huyo anaesemwa mtoto wa marehemu hakupewa kipaumbele kabisa nikiunganisha doti na huyo mzee wa kimarekani mzungu basi kichwa kinazunguka hatariii. Mji huu wa Daslama una mambo mazito sana.
Kwani wakoje mkuu??
 
Back
Top Bottom