To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
🤣🤣🤣🙌Mhh! Wacha tu niendelee kuishi zangu huku Kijijini. Kwa kweli maisha yenu ya mjini ya kina Mishym73, kwa kweli siyawezi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🙌Mhh! Wacha tu niendelee kuishi zangu huku Kijijini. Kwa kweli maisha yenu ya mjini ya kina Mishym73, kwa kweli siyawezi.
Huyu level ya u lishangazi kavuka, lishangazi mwisho 50+, akifika 60 umri wa kiserikali huo, ni kibibi. 😂Tuseme lishangazi
Naona noeli alikuwepo ,Paul Peter alikuwepo [emoji1]Kumekuchaaaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lupembe si majirani zao haoNimewaona kwenye mazishi front kabisa Tom Kisusi, chris Lupembe na Ben Kinyaiya, basi tu machale yakaanza kunicheza ukizingatia huyo anaesemwa mtoto wa marehemu hakupewa kipaumbele kabisa nikiunganisha doti na huyo mzee wa kimarekani mzungu basi kichwa kinazunguka hatariii. Mji huu wa Daslama una mambo mazito sana.
Wale wali addopt mtoto tuHeee ni baba mtoto??? mbona kwenye mazishi tulioyaona huku live huyo mtoto hajatajwa?? Kuna fumbo kubwa hapa. Ila nimewaona baadhi ya watoto wa mjini kwenye msiba nikapiga hesabu zangu 1+1= 2.
Unafunga sana pm weeeeKumbe yule mtoto sio wake
Ukoo umesema hawamtambui .kama ni wake mama wa mtoto afate utaratibu ampeleke kwenye kikao cha ukoo wafanye maamuzi
Naona noel ndani,Peter Paul ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umewaza nn sasa nawee?? Khaaah
Wanitakia nini mpenzi ?Unafunga sana pm weeee
JamaniNaona noeli alikuwepo ,Paul Peter alikuwepo [emoji1]
Ova
Mishy hana 60 bnaHuyu level ya u lishangazi kavuka, lishangazi mwisho 50+ akifika 60 umri wa kiserikali huo, ni kibibi. [emoji23]
Ana ngapi?Mishy hana 60 bna
Mbna had AR km nilimuonaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona noeli alikuwepo ,Paul Peter alikuwepo [emoji1]
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani wee nae, uwiiiiiibNaona noel ndani,Peter Paul ndani
Kwenye msiba
Ova
AR ndy nani ttz lako we mwanangu una code ngumu sana,mm uzee unanisogelea ujue [emoji1]Mbna had AR km nilimuonaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo nlibanwa na majukumu, nlitaka niende msibani na mie.
Mambo meengi muda mchache, nimesikitika tu ndani ya wiki 2 nimepoteza jamaa zangu wawili ninaowafahamu hapo bongo land, RIP James na Frank Kallaghe,. Innaillah wainaillah rajioun.Kumechachuka mnooo
Bongo Somo la kuadopt bado sanaAhsante ndio ya dunia, generation ya watoto wa mjini wa 90s na mwanzoni mwa 2000s inaisha pia. Ni wakati wa bongo flava huu..Nilikua sijui kumbe yule mtoto wa kuadopt?? but kwanini wafanye kuadopt?? hapo naanza kumuelewa yule mzee alipofuka msibani kua mtoto hawamtambui.Hatarii sana lakini salama.