WAZO2010
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 1,615
- 3,784
Naomba nimuombe Rais ikimpendeza afanye mabadiliko makubwa kwa Jiji la Mwanza. Mwanza ni jiji lakini miundombinu yake haina hadhi ya JIJI lolote duniani.
Barabara za mitaa ni tope, makorongo, mtandao wa Lami za mitaa Mwanza ina zidiwa na Manispaa nyingi Tz. Main Roads zipo chini ya Kiwango cha ubora. No strategic plans (wana weka nguzo za taa wakati kuna mkakati wa kupanua barabara). Majengo makubwa hadi VOIL yanajengwa karibu na barabara bila zuio la upanuzi. Barabara ni finyu. Jiji kubwa barabara kubwa ni njia 2 kweli? No alternative routes, kuingia jijini!! Hapa: TANROADS, TARURA, MIPANGO MIJI, ARDHI wakuu wa vitengo wote, Rais piga chini...wapeleke NIDA.
Maji: Mwanza ime zungukwa na Ziwa pande zote ila mgao wa Maji ni mkali kuliko Shinyanga. Wanazalisha lita million 90 kwa siku wakati mahitaji ni lita million 160 kwa siku. Je hawakujua? Je hawajui population growth rate na growth rate ya jiji? Hawa kujipanga? Masoko: masoko ya hili jiji hayana hadhi ya Jiji. Ni ya hovyo. Maji machafu , giza na tope ndio sifa kuu.
Vyombo vya Usalama naomba msaidieni mama kufanya kazi. Uzembe wa hovyo ni mwingi. Pelekeni taarifa kwa wakati.