Jiji la Mwanza lifanyiwe mabadikliko

Jiji la Mwanza lifanyiwe mabadikliko

Jibu swali ni jiji gani hapa Tanzania lenye barabara za lami hadi mitaani?
Arusha,tanga,mbeya,dodoma na dar es salaam

Tumia akili wewe mpuuzi

Ukitoa dar mwanza ndio inafuata kwa kua na barabara nyingi za mitaani

Mfano ni mitaa ya mwananchi,nyakato(Bismarck)kitangiri,mji mwema,jiwe kuu(barabara ya mawe)buzwagi(barabara ya mawe)bendera tatu(barabara ya mawe)
Stone gold,minazi mitatu,mji mwema,tunza nk

Kibongo bongo hizo ndio barabara za mitaa ukitaka barabara kama za Beverly hills Los Angeles utazikuta kwenye ndoto
pole sana mwana mwanza, siku zote ukweli huwa unakuwa ni mchungu...
 
Kichwa maji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Haya majinga kutoka huko vijijini yakija kwa shemeji zao yanajikuta yanalijua jiji kumbe mavi tu

View attachment 2592991
Ulivyo mjinga hata Nyumba mwanza huna. Tuna ongea wenye nyumba na plot zetu mwanza. Jitahidi pia usome sana. Coz ujinga ume kujaa kichwani.
 
Ulivyo mjinga hata Nyumba mwanza huna. Tuna ongea wenye nyumba na plot zetu mwanza. Jitahidi pia usome sana. Coz ujinga ume kujaa kichwani.
Jamii forum ina 2+ml members ila huu uzu wako naona mimi ndio nachangia sana wengine wameuona wa kipuuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kifupi uzi umedoda wacha nifute michango yangu nisepee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamii forum ina 2+ml members ila huu uzu wako naona mimi ndio nachangia sana wengine wameuona wa kipuuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kifupi uzi umedoda wacha nifute michango yangu nisepee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hakika umenena,kumbe umeona hee🙏
mleta mada ni mchunga ng'ombe kutoka mkoa wa Mara huko ila inajifanya mjuaji kumbe"Zero"
 
Barabara za isamilo..kama balewa road na machemba road,,
Barabara ya buzuruga kwenda pasiansi.
Barabara kirumba kwenda bwiru kupitia Kitangiri
Barabara ya mecco to nyakato sokoni
Barabara ya sabasaba to buswelu via kiseke
Barabara ya mwatex to kahama via buswelu
Just to mention few

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamii forum ina 2+ml members ila huu uzu wako naona mimi ndio nachangia sana wengine wameuona wa kipuuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kifupi uzi umedoda wacha nifute michango yangu nisepee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ww najua ni mtumishi wa Jiji. Tulia dawa ikuingie[emoji3][emoji3][emoji3]

Huu uzi lengo lake ni viewers, taarifa ifike kwa wahusika ili ww na wapuuzi wenzio mtumbuliwe. Hivyo viewers tiyari ziko zaidi ya 520. Naamini taarifa imewafikia wahusika juu na chini. Wenye kujirekebisha wata jirekebisha. Wajinga baadae watakiona cha moto. Wala hata siitaji hata comment zako zilizo jaa uduwanzi. Mtu anae jisifu ku comment uzi inafaa apimwe akili.
 
Naomba nimuombe Rais ikimpendeza afanye mabadiliko makubwa kwa Jiji la Mwanza. Mwanza ni jiji lakini miundombinu yake haina hadhi ya JIJI lolote duniani.

Barabara za mitaa ni tope, makorongo, mtandao wa Lami za mitaa Mwanza ina zidiwa na Manispaa nyingi Tz. Main Roads zipo chini ya Kiwango cha ubora. No strategic plans (wana weka nguzo za taa wakati kuna mkakati wa kupanua barabara). Majengo makubwa hadi VOIL yanajengwa karibu na barabara bila zuio la upanuzi. Barabara ni finyu. Jiji kubwa barabara kubwa ni njia 2 kweli? No alternative routes, kuingia jijini!! Hapa: TANROADS, TARURA, MIPANGO MIJI, ARDHI wakuu wa vitengo wote, Rais piga chini...wapeleke NIDA.

Maji: Mwanza ime zungukwa na Ziwa pande zote ila mgao wa Maji ni mkali kuliko Shinyanga. Wanazalisha lita million 90 kwa siku wakati mahitaji ni lita million 160 kwa siku. Je hawakujua? Je hawajui population growth rate na growth rate ya jiji? Hawa kujipanga? Masoko: masoko ya hili jiji hayana hadhi ya Jiji. Ni ya hovyo. Maji machafu , giza na tope ndio sifa kuu.

Vyombo vya Usalama naomba msaidieni mama kufanya kazi. Uzembe wa hovyo ni mwingi. Pelekeni taarifa kwa wakati.

Naunga mkono hoja hii🙏🙏
 
Katika vitu serikali ya ccm imefeli ni kwenye suala la mipango miji na matumizi sahihi ya ardhi,mwanza ni jiji la pili linatakiwa lipangwa lipangike.
Mipango miji ni hovyo kabisa, barabara ni bora ya singida kuliko hizi za Mwanza, serikali kwanini haituangalii au ni wapi tumekosea?
 
Barabara za isamilo..kama balewa road na machemba road,,
Barabara ya buzuruga kwenda pasiansi.
Barabara kirumba kwenda bwiru kupitia Kitangiri
Barabara ya mecco to nyakato sokoni
Barabara ya sabasaba to buswelu via kiseke
Barabara ya mwatex to kahama via buswelu
Just to mention few

Sent using Jamii Forums mobile app
Big bite- mji mwema mpaka Uhuru street.

zipo kwenye mkakati👉Mkuyuni-Mahina mpaka machinjioni.

Buhongwa-Sahwa-Kishiri mpaka Igoma.
Shinyanga road.
 
Una taja main Road ya Taifa chini ya Wizara una ita mtandao wa Lami za mitaa?
Musoma mapato yake yana ingia mara ngapi ya mapato ya Jiji la Mwanza? Ubora na lami walizo nazo musoma una weza linganisha na ule uchafu wa mita 400 Buhongwa, na Mkolani?
Bugando ili jenga serikali? [emoji3][emoji3][emoji3] una chekesha. Serikali hii ya Mwanza ijenge lami ya mtaa yenye ubora wa Bugando?
Huyo ni murumi alifadhiliwa.
Barabara ya Mkolani to Nyahingi to Malimbe ime jengwa ya hovyo mita 400 tu. Ili pata ufadhili wa Warumi St. Clara Hosp., urasimu wa serikali umemkimbiza mfadhili.
Luchelele ina lami wapi? Akati wame ongeza mita 400 tu pale. Iliyopo ni ile Zawadi ya Magufuli 2005 huko kwa chuo cha SAUT[emoji2][emoji2][emoji2]
Upo sahihi kamanda, kitu cha kutusaidia ni mradi wa tactic ipunguze hii kero, jiji kubwa lakini barabara ni kama tumesaulika, iukienda dodoma au dar then urudi Mwanza utakuja kuona, sisi Mwanza tunasafari ndefu sana kwenye miundombinu.
 
Singida wana barabara zipi

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiji linaitaji mtandao wa barabara za kutosha, nakuambia kamanda Mwanza yetu bado sana kwenye barabara ni kama serikli imetusahau, kwasasa Dodoma hatutaifikia kwenye mtandao wa lami za mitaani, na bado wamepewa 50+km za lami na bado wana tactic, ni hekima kuiomba tu serikali itufanyie mazuri.
 
Uzi Moderators wameisha ubandika. Tulia dawa iwaingie. Mmekalia rushwa tu maofisini. Hamfanyi kazi.
Mitaa ya Jiji utadhani ushirombo.
Mwanza jiji haina tofauti na nyancheche tabu sana, me nalia na serikali tu
 
Acha upumbavu, ilo daraja lina umuhimu sana kuliko takataka zingine, shauri bila chuki, kama huwezi kaa pembeni, kwahiyo tumepewa hilo daraja ndio sababu ya sisi tusipewe barabara?
kwakweli Mwanza kwenye barabara na sehemu za maegesho walifeli Kitambo sana. Pesa za daraja la Busisi ni bora zingetumika kutanua na kuboresha mtandao wa Barabara.
 
Acheni ushamba jiji la Mwanza halina wilaya, nendeni hata shule mkapate elimu ya uraia, nchi hii wajinga wengi wengi ila wabishi wakijifanya wanajua. Mkoa wa Mwanza ndio wenye wilaya kama Nyamagana, Ilemela na zingine jiji halina wilaya jiji ni jiji tu. Ila kwa Mkoa wa Mwanza jiji la Mwanza liko ndani ya wilaya ya Nyamagana km jiji la DSM lilivyo ndani ya wilaya ya Ilala. Msitulete kichefuchefu huku.
Punguza chuki kama huna cha kushauri kuna nyuzi za battle, peleka ujinga kwa mkeo.
 
Back
Top Bottom