Jiji la Mwanza lifanyiwe mabadikliko

Jiji la Mwanza lifanyiwe mabadikliko

Utakuwa msukuma. Ushamba ni jadi yenu.
Mfano, Nyamagana...uki toa barabara ya zawadi ya Nagufuli kwa SAUT 2005. Haina barabara ya mtaa. Kuna km sijui 4 alizo jipendelea mbunge Stanslaus Mabula kwa kujenga kwenda nyumbani kwake...stendi ya Nyegezi Juu.
Then, kuna uchafu ulio jengwa mkolani kwenda Nyahingi mita 400. Then, kuna uchafu wa mita 400 Buhongwa to Bulale. Taja lami ya Halmshauri ya Nyamagana ndani hata ya miaka 15 iliyo pita. Ndio uone ni Jiji la hivyo.
Ukitaka hata picha unapata [emoji116]
JamiiForums1705739662.jpg
JamiiForums-1498261961.jpg
IMG-20230118-WA0005.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna shule ya Main Road. Kasome. Mwanza Main Roads ni 2 tu. Natta to Musoma. Na Mwanza to Shinyanga.
Kumbe hamna mtu hapa[emoji3][emoji3]
Hahaaa mi mwanza nimewahi fika mara moja tu but najua hizo ulizotaja ndio main roads sasa nashangaa mtu analinganisha musoma na mwanza
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaa umejaa chuki musoma inamtandao mkubwa wa rami kuzidi mwanza

Musoma ipi hii ya machinjion,nyasho,kariakoo,nyakato airport hadi kule tembo[emoji1787]

Hivi mwanza unaijua au ulikuja kwa shemeji yako siku mbili tatu

Unaujua umbali wa kutoka kanyama-buhongwa
Buhongwa-airport
Nyegezi-luchelele
Mjin-igelegele
Mjin-nyashana
Mjini-bugando
Mjini-mji mwema
Mji mwema-kiloleni
Mjini-buswelu
Mjini-kahama
Mjini-ibanda
Mjini-nyasaka
Mjini-nyasaka ppf
Mjini-nyamadoke
Sabasaba-buswelu
Iloganzara-bwiru
Mjini-bwiru
Kona ya bwiru-kitangiri
Kitangiri-ibanda
Ibanda-mihama
Jiwe kuu-bwiru
Sabasaba-Ilemela-tunza-malaika hadi kona ya igombe

Buzuruga-mwananchi
Buzuruga-shule-nyasaka-maduka tisa-kiloleni-bigbite-kilimahewa hadi kona ya bwiru

Nyakato-Bismarck
Nyakato sokoni-mecco hadi Buzuruga shule
Nyegezi-majengo mapya
Mission-magomeni-kitangiri

Hapa nimekujibu kiufundi zaidi, ulivyoiweka musoma juu ya mwanza nimekuona wewe ni wakuja[emoji1]

Nimetaka kusahau hapo voil kuna njia ya kuzunguka inaanzia pale pepsi-igogo-mchafu kuoga hadi voil bila kusahu mkuyuni hadi butimba

Kama huu Mtandao wa barabara ya lami ni mdogo kwa musoma[emoji1787][emoji1787] na hayo majiji makubwa ya Tanzania yaani tanga,arusha,mbeya na dodoma basi utakua na chuki sio bure

Ukikohoa narudia
Atakuwa amekuelewa mkuu!! Akizidi kuleta ujinga itabidi niingilie na mimi sasa
 
Uki fanya analysis ya square mita za lami za Mji wa Musoma Town na Revenue Collection ya Musoma Vs Square mita za lami za mitaa Mwanza na Revenue Collection ya Mwanza na uki linganisha ubora wa barabara zao. Musoma are much better than Mwanza. Shinyanga Road na Musoma Road. Siyo za Jiji la Mwanza hizo ziko chini ya Wizara ya Ujenzi usi zihesabu. Uta ona how hopeless the City is.
 
Mwanza Kwenye Barabara Imesahaulika Hadi Inatia Huruma, mfano ukiwa unatoka Shinyanga ukifika mpakani mwa Shinyanga na Mwanza baaaasi hadi rangi ya barabara inabadilika

Mwanza ina barabara mbovu pengine kuliko majiji yote Tanzania.

Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Wewe ni muongo kabisal!!
 
Toa mfano wa hizo barabara za mitaa kwenye majiji mengine ya Tanzania [emoji1787]
Arusha,dodoma,tanga na mbeya nipo hapa nimekaa
Tanga kuna lami za mitaa nyingi tu sku izi ,msambweni,sahare,donge,magomeni,chumbageni, nguvumali,mikanjuni,
 
Ufinyu wa barabara ni tatizo kubwa mwanza,tatizo la maji nadhani linachangiwa na jiografia ya milima wenzenú wa shinýanga ile tambarare inawabeba sana
Juu ya milima ndiko tanki za maji ina paswa zikae. Zimwage maji chini. Kwa technolojia ya karne hii ya 21 hakuna sababu kama hiyo.
 
Uki fanya analysis ya square mita za lami za Mji wa Musoma Town na Revenue Collection ya Musoma Vs Square mita za lami za mitaa Mwanza na Revenue Collection ya Mwanza na uki linganisha ubora wa barabara zao. Musoma are much better than Mwanza. Shinyanga Road na Musoma Road. Siyo za Jiji la Mwanza hizo ziko chini ya Wizara ya Ujenzi usi zihesabu. Uta ona how hopeless the City is.
Kwa hyo hapo nani kasema ni Nyerere road au shy road....
Jiji la Mwanza Lina km square 400..
mtandao wa barabara za lami ni km 100.kwa barabara za mitaa na km 45 main road...
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaa umejaa chuki musoma inamtandao mkubwa wa rami kuzidi mwanza

Musoma ipi hii ya machinjion,nyasho,kariakoo,nyakato airport hadi kule tembo[emoji1787]

Hivi mwanza unaijua au ulikuja kwa shemeji yako siku mbili tatu

Unaujua umbali wa kutoka kanyama-buhongwa
Buhongwa-airport
Nyegezi-luchelele
Mjin-igelegele
Mjin-nyashana
Mjini-bugando
Mjini-mji mwema
Mji mwema-kiloleni
Mjini-buswelu
Mjini-kahama
Mjini-ibanda
Mjini-nyasaka
Mjini-nyasaka ppf
Mjini-nyamadoke
Sabasaba-buswelu
Iloganzara-bwiru
Mjini-bwiru
Kona ya bwiru-kitangiri
Kitangiri-ibanda
Ibanda-mihama
Jiwe kuu-bwiru
Sabasaba-Ilemela-tunza-malaika hadi kona ya igombe

Buzuruga-mwananchi
Buzuruga-shule-nyasaka-maduka tisa-kiloleni-bigbite-kilimahewa hadi kona ya bwiru

Nyakato-Bismarck
Nyakato sokoni-mecco hadi Buzuruga shule
Nyegezi-majengo mapya
Mission-magomeni-kitangiri

Hapa nimekujibu kiufundi zaidi, ulivyoiweka musoma juu ya mwanza nimekuona wewe ni wakuja[emoji1]

Nimetaka kusahau hapo voil kuna njia ya kuzunguka inaanzia pale pepsi-igogo-mchafu kuoga hadi voil bila kusahu mkuyuni hadi butimba

Kama huu Mtandao wa barabara ya lami ni mdogo kwa musoma[emoji1787][emoji1787] na hayo majiji makubwa ya Tanzania yaani tanga,arusha,mbeya na dodoma basi utakua na chuki sio bure

Ukikohoa narudia
Kaka usijisumbue kubishana nao....Hapo kuna barabara kibao tu hujazitaja ...
 
Wala sikulazimishi kuamini, hata singida ina main road nzuri kuzidi main roads zote za Mwanza (Musoma na Shinyanga roads)

Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Huo ndio ukweli.
Tena ile main Road ya Mwanza..kuanzia NELA hadi Airport siyo pesa za Jiji. Bali Magufuli alichukua hela za Watanzania wote za sherehe za Uhuru na kuzipeleka kujenga hiyo barabara. Jiji kama jiji na TANROADS Mwanza ni mchwa wa kula hela tu. Hakuna wanachofanya.
 
Acheni ushamba jiji la Mwanza halina wilaya, nendeni hata shule mkapate elimu ya uraia, nchi hii wajinga wengi wengi ila wabishi wakijifanya wanajua. Mkoa wa Mwanza ndio wenye wilaya kama Nyamagana, Ilemela na zingine jiji halina wilaya jiji ni jiji tu. Ila kwa Mkoa wa Mwanza jiji la Mwanza liko ndani ya wilaya ya Nyamagana km jiji la DSM lilivyo ndani ya wilaya ya Ilala. Msitulete kichefuchefu huku.
Ukizungumzia metropolitan area of mwanza ni wilaya za nyamagana na ilemela au unaweza kusema manispaa za ilemela na nyamagana
 
Kwa hyo hapo nani kasema ni Nyerere road au shy road....
Jiji la Mwanza Lina km square 400..
mtandao wa barabara za lami ni km 100.kwa barabara za mitaa na km 45 main road...
.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ondoa barabara zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi. Ondoa misaada 2 (SAUT Road 2005 Magufuli, na Nella to Airport pesa za Uhuru-Magufuli).
 
Huo ndio ukweli.
Tena ile main Road ya Mwanza..kuanzia NELA hadi Airport siyo pesa za Jiji. Bali Magufuli alichukua hela za Watanzania wote za sherehe za Uhuru na kuzipeleka kujenga hiyo barabara. Jiji kama jiji na TANROADS Mwanza ni mchwa wa kula hela tu. Hakuna wanachofanya.
Mwanza ukiacha barabara mbovu is the most dark city nchini [emoji1][emoji1] barabara kuu zote taa hazifanyi kazi

Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
 
M walivotengeneza tu ile barabara ya Iloganzara-tbl-bwiru roho yangu safi kabisa,acha watu wapondee wanavojua we dont care
 
Ondoa barabara zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi. Ondoa misaada 2 (SAUT Road 2005 Magufuli, na Nella to Airport pesa za Uhuru-Magufuli).
wew acha zako . jukumu la ujenzi wa barabara magufuli aliondoa halmashauri..sa hv ni TARURA na TANROADS .. halmashauri wanafund pesa kiasi TARURA....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom