Jiji la Mwanza lifanyiwe mabadikliko

Una onesha una shule ndogo. Exposure ya Majiji huna. Una taja kenyatta Road as main road? Ni akili au matope?
Wewe ni mpuuzi uzi wako unazungumzia jiji la mwanza sio mkoa wa mwanza[emoji1787]

Jiji la mwanza tunabarabara kuu tatu kenyatta,makongoro na nyerere

Kumbe hata haufahamu musoma road inaanzia wapi na kuishia wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu unajiita msomi!!!!!!
 
Tulia ww, level zako ni hao wajinga wenzio.
 
kwakweli Mwanza kwenye barabara na sehemu za maegesho walifeli Kitambo sana. Pesa za daraja la Busisi ni bora zingetumika kutanua na kuboresha mtandao wa Barabara.
 
Uzi Moderators wameisha ubandika. Tulia dawa iwaingie. Mmekalia rushwa tu maofisini. Hamfanyi kazi.
Mitaa ya Jiji utadhani ushirombo.
Jiji la mwanza tuna wilaya 2 tu nyamagana na ilemela sass wewe hio barabara ya msoma na shinyanga umeitoa wapi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] au mwenzetu unaishi wilaya ya magu au misungwi/kwimba coz huko zipo hizo barabara
 
Acheni ushamba jiji la Mwanza halina wilaya, nendeni hata shule mkapate elimu ya uraia, nchi hii wajinga wengi wengi ila wabishi wakijifanya wanajua. Mkoa wa Mwanza ndio wenye wilaya kama Nyamagana, Ilemela na zingine jiji halina wilaya jiji ni jiji tu. Ila kwa Mkoa wa Mwanza jiji la Mwanza liko ndani ya wilaya ya Nyamagana km jiji la DSM lilivyo ndani ya wilaya ya Ilala. Msitulete kichefuchefu huku.
 
Nyamagana ni Manispaa, Ilemela ni Manispaa... Manispaa ya Nyamagana ndio inaunda Halmashauri ya jiji...

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] point yako ni nini? Kwamba hakuna wilaya ya ilemela ila kuna manispaa!!
 
Ni musoma siyo msoma. Shule ndogo. Nime sema Natta to Musoma.
Na Mwanza to Shinyanga. Dogo kasome upanue ubongo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti msoma road
Una Elimu gani hata kuandika Musoma hujui una andika Msoma? Ebu ingia Google Map uone hiyo barabara ya Natta to Musoma inaitwaje? Ni mshamba ila una jidai mjuaji.
 
Ni musoma siyo msoma. Shule ndogo. Nime sema Natta to Musoma.
Na Mwanza to Shinyanga. Dogo kasome upanue ubongo.
Kati ya mimi na wewe nani akasome?

We jamaa umeshindwa kutofautisha kati ya mkoa na jiji ni aibuu kubwa!![emoji1787]
 
Nyamagana ni Manispaa, Ilemela ni Manispaa... Manispaa ya Nyamagana ndio inaunda Halmashauri ya jiji...

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Eti mkuu wa chuo, we ni mkuu wa chuo cha wajinga siyo? Rudi darasani huna unalojua, Manispaa na jiji ni vitu viwili tofauti. We inaonekana ni mbishi na ulikuwa unawabishia hata walimu wako ndio maana vitu vidogo km hivyo vinakushinda. Anyway, ujinga wako usiwe mzigo kwa watu wengine
 
Wewe mmeru unateseka ukiwa kimandolu sehemu gan[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swala la mgao wa maji hata mim nalishangaa umelitoa wapi.
Kila kitu kinakuja kulingana na uhitaji.
Kweny swala la barabara za mitaa sehem nyingi tu wanatengeneza barabara za mitaa.
 
Mi Elimu yangu ni kubwa, kwa uwezo wako mdogo kama Mende haunizidi...

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…