Jiji la mwanza limejaa washamba na malimbukeni

Jiji la mwanza limejaa washamba na malimbukeni

Mimi ni mzenji nimeishi sana mwanza , kwa hili niungo mkuu una chuki zako tu binafsi
 
Nimeishi mwanza na Geita kwa mda tofauti..Kwa mwanza ni uongo kabisa hakuna ule ushamba pale town labda huko ndani ndani...Kwanza wenyeji wa pale tulipofika hawajisikii kabisa tunakaribishwa kila kona baada ya kufika kwa mwenyeji wetu...

Nilikuta yaani sehemu za kuuza chips wanauza mpaka nyama ya bata na sio sehemu moja🤣🤣🤣...Maisha ya kule safi sana hawanaga mbwembwe watu kazi kweli.

Geita ndo nimeona ushamba kwa mbali Tena ila wakarimu mpaka nashangaa hay mauaji daily sijui yanatokewa Geita wapi?
 
Mtoa mada ni wa hovyo kuwahi kutokea humu jf.
 
Jamaa aliwahi kufungwa jela,mwaka juzi au mwaka jana huko huko Mwanza
Eeh weeh au ndo yule alikua anajihusisha na uvuvi haramu.
Mana kuna mtu humu ndani ashawai nambia hivo na sikumbuki kabisa jina lake ni muda sana
 
Mji wa Mwanza umejaa washamba na malimbukeni.
Mwanza ni jiji la pili baada ya Dar !! Dar nayo imeendelezwa na wakuja, waulize wazaramu washamba wenzio watakwambia, Taja mkoa unaotokea tulinganishe maendeleo.ulimbukeni na ushamba unaozungumzia.
 
Back
Top Bottom