hapa ndipo ilipo kasoro ya Kimfumo , kulikua na haja gani kumuondoa Kandoro na kumpeleka Mwanza ?
La tatu ni siasa kuwepo kila sehemu hata pasipostahili, siku hizi hata magari ya usafi hayapati tender kama hakuna kaushikaji fulani na makada!
Naomba kuuliza swali hapa.Kama ulivyosema ndivyo,basi majukumu ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ni yapi? ni kina nani wako accountable kwake?Kuna mamatizo matatu hapa
la pili ni ugumu wa kuongoza Dar kutokana na mfumo wake, labda hatuhitaji mkuu wa mkoa at all... tujiulize meya wa jiji letu ana kazi gani? RAS wetu ana kazi gani? polisi wamegawaje mkoa? elimu wamegawaje huu mkoa?
- la kwanza ni uwezo wa lukuvi akiwa kama lukuvi, hili nadhani liko wazi kwamba lukuvi hana ile calliber ya kuongoza miji yenye matatizo kama Dar, ni personality au elimu... i dont know
- La tatu ni siasa kuwepo kila sehemu hata pasipostahili, siku hizi hata magari ya usafi hayapati tender kama hakuna kaushikaji fulani na makada!
Halafu kama suala ni Meya wa jiji,Huyu Makamba aliweza vipi kulimudu jiji? wakati huo wa makamba hata usafi ulikuwa angalau.Na sidhani kama Population Growth ya jiji ndio inaleta difference kati ya Lukuvi na Makamba.Awamu ya nne tumeshuhudia wakuu wa mikoa watatu na kwa mtaji huo huo awamu ya tano tunaweza kushuhudia tena wakuu wa mikoa watatu, kwa maana hiyo Mkuu wa nchi akimaliza vipindi vyake viwili atakuwa amebadilisha wakuu wa mkoa wa Dar es Salaam mara sita.
Jiji litaendelea kuwa chafu na vile vibanda vya Machinga vilivyoondolewa na Makamba vitashamiri muda sio mrefu kwani muda wa kupuuzia sheria mara nyingi huwa karibu na uchaguzi. Serikali hua haipendi kuwakera wapiga kura katika kipindi hiko.
lukuvi Kimeo Tu, siasa ilimleta Dar , na sasa tumeula wa chuya.Halafu kama suala ni Meya wa jiji,Huyu Makamba aliweza vipi kulimudu jiji? wakati huo wa makamba hata usafi ulikuwa angalau.Na sidhani kama Population Growth ya jiji ndio inaleta difference kati ya Lukuvi na Makamba.
kwani CCJ na Lowassa ni ndugu moja ?
umenikumbusha Vidaladala vya Tanga, sijawahi kufika kwenye hako kamtaa, ila naonaga daladala zikiwa zimebeba jina NGUVUMALI.....MY WONDERFUL NAME, ni jina la babu yangu.Na wewe je Una undugu na Kimtaaa kule Tanga kinaitwa jina lako??? au... Tuacheni utani Lukuvi JIJI limemshinda kwani yeye sasa anaangalia Ubunge tu hawezi kukomand kitu si unajua wadanganyika tumezoweya kusukumwa
halafu wanapobadilishwa - wanalipwa marupurupu kibao - usafirishaji wa mizigo etc. yote hiyo kodi ya watanzania - jamani - this is too much!!!!
!
Nadhani mnamuonea mnyalukolo bure, kwani kutofukiwa kwa mashimo kwenye geti la kuingilia ofisi ya mkuu wa mkoa huko Dodoma ndio ishara kuwa alishindwa kazi? Mbona huko Bagamoyo watu wameiba mamilioni ya mapesa toka kwenye mradi wa barabara ya Msata -Bagamoyo ; na hata kwenye halmashauri yenyewe ya Bagamoyo and yet huko ndiko anakotoka mkuu wa nchi; Je kutoogopa kwa hawa mafedhuli [ DED huteuliwa na Rais] kuwa huko ndiko anatoka kiongozi wa nchi kuna maana Rais ameshindwa kutimiza wajibu wake?
Naomba kuuliza swali hapa.Kama ulivyosema ndivyo,basi majukumu ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ni yapi? ni kina nani wako accountable kwake?
Na huyu Meya wa jiji anaripoti kwa nani?
Jamani msitake ku-justify makosa ionekane kila kitu ni shwari.Elimu ya Lukuvi na usafi wa jiji wapi na wapi ! kama jiji liliwashinda "wasomi "kama Kandoro, Makamba na Chipungahelo kwanini leo tuone elimu ya Lukuvi ndio kikwazo. Uchafu wa jiji la Dar ni tabia ya wakazi wake, wakzi wa dar ndio wachafu!
ohh! sorry.Lakini hii ndio lifestlye yetu ya kujibu kwa maswali.No wonder jiji linanuka kwa ajili hii.mimi nimeuliza swali... sasa na wewe umeniuliza swali!! Ok..
nafikiri anazaidi ya mwaka, ila sina hakika, tatizo hali imezidi luwa mbaya kuliko kawaida, malundo ya Taka katikati ya mji, mji unanuka sana, mfumo wa majitaka umedorola, wamachinga wametapakaa kila mahala.- Kwa ni Lukuvi amekuwa RC kwa muda gani so far?
Es!