Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 746
- 1,512
Hapo Sasa!Hebu tutafakari kwa pamoja Wakuu,
Vigezo gani vilitumika na CAF kuichagua Tanzania kuwa mwenyeji wa AFCON 2027? HIYO NI KESHO TU ETI
Kwanza, Kenya na Uganda wamekwishamaliza ujenzi wa viwanja vitakavyotumika kwa fainali hizo, Tanzania bado nywinywinywi hakuna kitu
Dar es Salaam ambayo ndiyo taswira ya nchi hakuna maji, hakuna barabara, vurugu za bodaboda na bajaji katikati ya mji, parking za bodaboda na bajaji hadi mbele ya mahotel makubwa ambako ndiyo timu zitaishi, beach zote ni chafu kupindukia, majengo katikati ya mji yamechakaa na machafu kupindukia, uchafu kila mahali🚮🚮
Rais wa nchi kajifungia Tunguu Zanzibar, na kufikia wakati huo bila shaka atakuwa kifungoni The Hague
Waziri Mkuu lopolopo🚮🚮
Waziri wa Habari na Michezo ni zero brain hawezi kusema hata sentensi moja kwa Kiingereza. Asilimia 99 pia ya Wakaazi wa mji huu hawawezi kuwasiliana kwa Kiingereza ama lugha nyingine yoyote kubwa ya Kimataifa kama Kifaransa
Sasa Uenyeji wa Tanzania wa Mashindano ya AFCON utakuwaje? Tulikuwa na sifa kweli kuandaa mashindano hayo au kijani walihonga??
Nachoka mimi
Halafu munasema Zanzibar tuunge maji kutoka huko!! Na kule Tunguu ndio kunakotakiwa kuwe na maji!! Sisi Wadanganyika tumedanganyika sana. Eti wakaazi hawawezi kuwasiliana kwa Kiingereza! Nimecheka sana. Kwahivyo watakuwa mabubu. Kwani hao wanaokuja si wataongea Kiswahili? Kinawashinda nini? Bado tuna mawazo ya kutawaliwa.Hebu tutafakari kwa pamoja Wakuu,
Vigezo gani vilitumika na CAF kuichagua Tanzania kuwa mwenyeji wa AFCON 2027? HIYO NI KESHO TU ETI
Kwanza, Kenya na Uganda wamekwishamaliza ujenzi wa viwanja vitakavyotumika kwa fainali hizo, Tanzania bado nywinywinywi hakuna kitu
Dar es Salaam ambayo ndiyo taswira ya nchi hakuna maji, hakuna barabara, vurugu za bodaboda na bajaji katikati ya mji, parking za bodaboda na bajaji hadi mbele ya mahotel makubwa ambako ndiyo timu zitaishi, beach zote ni chafu kupindukia, majengo katikati ya mji yamechakaa na machafu kupindukia, uchafu kila mahali🚮🚮
Rais wa nchi kajifungia Tunguu Zanzibar, na kufikia wakati huo bila shaka atakuwa kifungoni The Hague
Waziri Mkuu lopolopo🚮🚮
Waziri wa Habari na Michezo ni zero brain hawezi kusema hata sentensi moja kwa Kiingereza. Asilimia 99 pia ya Wakaazi wa mji huu hawawezi kuwasiliana kwa Kiingereza ama lugha nyingine yoyote kubwa ya Kimataifa kama Kifaransa
Sasa Uenyeji wa Tanzania wa Mashindano ya AFCON utakuwaje? Tulikuwa na sifa kweli kuandaa mashindano hayo au kijani walihonga??
Nachoka mimi
Onyesha viwanja ambavyo havijakamilika huko Kenya na Uganda...then uzilinganishe na viwanja vinavyoanza kujengwa hapo Arusha na Dodoma...yaani hadi sasa barabara ya kwenda uwanja wa mpira Arusha haijaanza kujengwa, pale Dodoma Ihumwa ndiyo kwanza mkandarasi anaanza mobilization.Kwamba kenya wameisha kamilisha ujenzi wa viwanja? Kwamba uganda imeisha kamilisha
-hapa unamdanganya nani?
-kashtaki ICC ya tecdema
Yaani kuna kipindi waweza fikiria kuhusu hawa pinga pinga ukajiuliza maswali yasiokuwa na majibu.
Hii haina ulazima na haihusiani na sisi kuwa wenyeji wa Afcon. Wala sio lazima wenyeji wajue KiingerezaAsilimia 99 pia ya Wakaazi wa mji huu hawawezi kuwasiliana kwa Kiingereza ama lugha nyingine yoyote kubwa ya Kimataifa kama Kifaransa
Kwahiyo unategemea mgeni aje ajifunze Kiswahili ili akupatie pesa yake kwa kupata services kwako? Au wewe ndiyo ujifunze lugha mbalimbali za wageni wanaokuja kwako ili wapate huduma nzuri na warudi siku nyingine.Halafu munasema Zanzibar tuunge maji kutoka huko!! Na kule Tunguu ndio kunakotakiwa kuwe na maji!! Sisi Wadanganyika tumedanganyika sana. Eti wakaazi hawawezi kuwasiliana kwa Kiingereza! Nimecheka sana. Kwahivyo watakuwa mabubu. Kwani hao wanaokuja si wataongea Kiswahili? Kinawashinda nini? Bado tuna mawazo ya kutawaliwa.
Kiingereza sio lazimaKwahiyo unategemea mgeni aje ajifunze Kiswahili ili akupatie pesa yake kwa kupata services kwako? Au wewe ndiyo ujifunze lugha mbalimbali za wageni wanaokuja kwako ili wapate huduma nzuri na warudi siku nyingine.
Au shule hukusoma marketing kidogo.
Usipende kuchangia kila hoja. Hoja iliyopo mezani ina mashiko kwa heshima ya Taifa letu. Jifunze kutenganisha siasa na taaluma.Kwamba kenya wameisha kamilisha ujenzi wa viwanja? Kwamba uganda imeisha kamilisha
-hapa unamdanganya nani?
-kashtaki ICC ya tecdema
Yaani kuna kipindi waweza fikiria kuhusu hawa pinga pinga ukajiuliza maswali yasiokuwa na majibu.
😂😂😂😂😂 inawezekana akanyongwa kabisa?Rais wa nchi kajifungia Tunguu Zanzibar, na kufikia wakati huo bila shaka atakuwa kifungoni The Hague
Mkuu mimi sijaenda shule ni madrasa tu, lakini sijasema waje wajifunze Kiswahili. Nimeuliza tu kwani wao hawazungumzi Kiswahili badala ya kutegemea Kiingereza? Kwahivyo kwetu sisi Wadanganyika kutokuzungumza Kiingereza ni kosa ila wao kutokuzungumza Kiswahili ni sawa!! Mkuu si umechelewa?!Kwahiyo unategemea mgeni aje ajifunze Kiswahili ili akupatie pesa yake kwa kupata services kwako? Au wewe ndiyo ujifunze lugha mbalimbali za wageni wanaokuja kwako ili wapate huduma nzuri na warudi siku nyingine.
Au shule hukusoma marketing kidogo.
Kiingereza ni Moja kati ya lugha kubwa kimataifa na ni vyema kuijua Kwa ufasaha kabisaMkuu mimi sijaenda shule ni madrasa tu, lakini sijasema waje wajifunze Kiswahili. Nimeuliza tu kwani wao hawazungumzi Kiswahili badala ya kutegemea Kiingereza? Kwahivyo kwetu sisi Wadanganyika kutokuzungumza Kiingereza ni kosa ila wao kutokuzungumza Kiswahili ni sawa!! Mkuu si umechelewa?!
Mwisho; mimi sikusoma marketing na pia sikusoma Kiingereza wala sikusoma Kiswahili. Ikiitokea wewe umesoma vyote hivyo, na haya ndo umeandika, utakuwa umekula hasara.