Jiji lisilo na maji wala barabara litakuwaje mwenyeji wa AFCON?

Kwa hiyo hao wengine waliondaa hayo mashindano ya AFCON sijui Cote de Ivoire, Cameroon, Gabon, Equtorial Guinea wana maendeleo gani ya kimiundo mbinu ya ajabu kutushinda sisi? Mbona ni mafukara tu pangu pakavu na wamefanya?
 
Kiingereza ni Moja kati ya lugha kubwa kimataifa na ni vyema kuijua Kwa ufasaha kabisa
Yaani unategemea mtu wa Morocco, Ghana, South Africa ajifunze kiswahili Ali awasiliane na mdengereko taxi driver?
Ndio akili hiyo!! Nyiye munaojua Kiingereza tabai kama zako huwa munaziita "inferiority complex". Ubarikiwe mkuu. Sisi wa madrasa huwa tunasema "wajinga ndio waliwao".
 
Punguzeni negativity. Sio kila kitu lazima mkitolee maoni ya kukosoa.

Ikifika 2027 nenda katembee huko Arusha utakutana na vyote hivyo vinavyopungua muda huu.
kwahiyo watu wa ARUSHA wahangaike na kukaa bila maji ya kunywa mpaka 2027?
 
Kwa hiyo hao wengine waliondaa hayo mashindano ya AFCON sijui Cote de Ivoire, Cameroon, Gabon, Equtorial Guinea wana maendeleo gani ya kimiundo mbinu ya ajabu kutushinda sisi? Mbona ni mafukara tu pangu pakavu na wamefanya?
Wengi wajinga wanachojua kujenga hoja za kupinga kila kitu hata kile chenye faida kwao.

Unapoanza ujenzi wanakimbilia kusema haitawezekana wanakuja kuumbuliwa baada ya mradi kumalizika.

Nakumbuka wakati mwendo kasi unaanza kujengwa kwenye daladala vijana wengi walijenga hoja kwamba kinachotaka kufanyika hakitawezekana, mpaka vituo vilipoanza kumaliziwa kujengwa, kimoja baada ya kingine.
 
😂😂😂😂😂
 
Hii mentality ya kusema kutojua lugha ya kigeni hasa kingereza kwa ufasaha na ufanisi sio shida, kwa kuwa tuna lugha yetu ya Taifa, kiswahili ni upuuzi.

Kingereza ni lugha ya kimataifa, kana kwamba karibu robo 3 ya watu wa ulimwengu huu wanazungumza hiyo lugha.
Hiki kiswahili ni Kenya na Uganda tyuu ndo wanakizungumza na hakina impact yoyote kwao wazungumzaji wa nje.

Yaani mtu wa West Africa hata kiswahili hakijui na hana umuhimu nacho, achilia hao wa Ulaya.
Ndo maana wengi wanakosa fursa adhimu kisa kutojua lugha ya kingereza kwa ufasaha.

Hebu kuwa mkweli na muwazi mara chache, itasaidia na wengine pia.
 
Hii mentality ya kusema kutojua lugha ya kigeni hasa kingereza kwa ufasaha na ufanisi sio shida, kwa kuwa tuna lugha yetu ya Taifa, kiswahili ni upuuzi.
Ni kweli hii ni upuuzi lakini kwa wapuuzi.
Kingereza ni lugha ya kimataifa, kana kwamba karibu robo 3 ya watu wa ulimwengu huu wanazungumza hiyo lugha.
Sasa wakizungumza ndo nini? Wengine wanazungumza Kiswahili na lugha nyingine. Tatizo ni nini?
Yaani mtu wa West Africa hata kiswahili hakijui na hana umuhimu nacho, achilia hao wa Ulaya.
Hayo ni mawazo yako, nayaheshimu.
Ndo maana wengi wanakosa fursa adhimu kisa kutojua lugha ya kingereza kwa ufasaha.
Huu ni uongo. Hata wengine wanakosa fursa adhimu kwa kutokujua Kifaransa, Kichina, Kijerumani, Kiarabu nk kwa kutokujua lugha hizo kwa ufasaha. Inategemea ni fursa gani na ni vigezo gani vimewekwa.
Mimi ni mkweli ndo maana nimeandika haya. Wakati mwingine wacheni mawazo ya kutawaliwa angalau muwe huru. Hutokuwa Mzungu kwasababu tu unazungumza Kizungu. Ni vivyohivyo kwa lugha nyengine. Daima utabaki kuwa Mswahili utake usitake kwani hiyo ndo asili yako.
 
Kwa kuwa sisi Afrika Mashariki kwa asilima mia moja hatuwezi kabisa kujenga viwanja kama vile vya Morocco basi sio haki tuandae mashindano ya Afcon ni upendeleo wa kijinga sana wanafanya CAF.
 
Wewe unatafuta mawe milimani, hiyo ni dalili tosha kwamba watu wamechoka vibaya na serikali iliyopo ambayo hawakuichagua. It's a very simple theory.
 
Wewe unatafuta mawe milimani, hiyo ni dalili tosha kwamba watu wamechoka vibaya na serikali iliyopo ambayo hawakuichagua. It's very simple theory.
Sisi tumeichagua tuliamka mapema tukapiga kura, nyinyi CDM wazee wa kususa hakuna wa kuwalazimisha kuiunga mkono au kukaa pembeni.
 
Kazi ipo. Lol
 
Jiji la ajabu KABISA!
Bunju HATUNA MAJI SIKU YA TANO!
Halafu wataka kuandaa mashindano ya michezo ya kimataifa?!
Ni UWENDAWAZINI KABISA!
DAWASA
 
mkuu wakija si wataoga maji ya afya na jiiesiemuu maana waarabu koko kwa kujipendekeza watawatenmgenezea maji yao ya kuoga ili waunge mkono juhudi za bimdashi aka the butcher
 
Jiji la ajabu KABISA!
Bunju HATUNA MAJI SIKU YA TANO!
Halafu wataka kuandaa mashindano ya michezo ya kimataifa?!
Ni UWENDAWAZINI KABISA!
DAWASA
Chawa wakina ChoiceVariable wanasema maji sasa hivi yamehamishiwa vijijini, muondoke mjini mrudi vijijini maji huko yapo ya kushato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…