Fabolous JF-Expert Member Joined Sep 23, 2010 Posts 3,689 Reaction score 5,409 Jan 29, 2026 #41 Steven Joel Ntamusano said: Punguzeni negativity. Sio kila kitu lazima mkitolee maoni ya kukosoa. Ikifika 2027 nenda katembee huko Arusha utakutana na vyote hivyo vinavyopungua muda huu. Click to expand... Ikifika 2027 Dar kutakua hakuna shida ya maji? Miundombinu ya barabara itakua kama Nairobi?
Steven Joel Ntamusano said: Punguzeni negativity. Sio kila kitu lazima mkitolee maoni ya kukosoa. Ikifika 2027 nenda katembee huko Arusha utakutana na vyote hivyo vinavyopungua muda huu. Click to expand... Ikifika 2027 Dar kutakua hakuna shida ya maji? Miundombinu ya barabara itakua kama Nairobi?
Foffana JF-Expert Member Joined Oct 29, 2022 Posts 3,240 Reaction score 5,625 Jan 29, 2026 #42 Fabolous said: Ikifika 2027 Dar kutakua hakuna shida ya maji? Miundombinu ya barabara itakua kama Nairobi? Click to expand... Kinashindikana nini?
Fabolous said: Ikifika 2027 Dar kutakua hakuna shida ya maji? Miundombinu ya barabara itakua kama Nairobi? Click to expand... Kinashindikana nini?
Think2 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2025 Posts 3,087 Reaction score 6,024 Jan 29, 2026 #43 Afu unakuta bill zinaendelea kusoma kama kawaida hii inchi ni usenge mwingi tu