JIJI ZITO JAMANI: Ndoa za Ali Kiba na Roma zavunjika. Majizo kamtosa Lulu yuko na Vanesa Mdee

JIJI ZITO JAMANI: Ndoa za Ali Kiba na Roma zavunjika. Majizo kamtosa Lulu yuko na Vanesa Mdee

Dada alifikiri Kiba ni milionea, kaja kugundua ukweli baadae sana. Hivi vingine ni visingizio tu.
 
inashangaza,kwenye jukwaa hili kuna majitu hayakauki kusoma umbeya halafu yakishamaliza yanajifanya kama yameukasirikia umbeya na kujinyesha kwamba wao ni watu serious sana wenye akili nyingi kumbe kama wamesoma sana utakuta ni wanafunzi wa profesa kabudi pale jalalani
Prof.kabudi ndio nani mkuu?
 
basi ndo hivyo bana ALi kiba ndoa chali na Roma pia,haijajulikana mara moja sababu ya issue ya Roma ila kwa ali kiba ni kwamba mwana dada alichoka madharau ya king kiba kalalamika sana kwao mombasa akaamua kuomba talaka basi bwana king kaamua kumpa talaka tatu kabisa
Habari nyingine ni kwamba bwana majizzo sasa hivi anajisevia mtoto mzuri wa A town vee money haijajulikana mara moja kama yule mtangazaji wa kiume wa ile redio nanihii hataona wivu kama ule alikokuwa anaumuonea kistuli

UPDATE:: issue ya Roma inaonekana ni kiki sababu mwenzake stamina naye eti kagombana na mkewe so definitely anytime wanatoa nyimbo,kama kawaida ya upuuzi mpya wa bongo kwa sasa nyimbo haitoki bila kufanya maujingaujinga ya ku grab attention.
Demu wa kiba tulikua tuna count days tuu,sabab alichotegemea from kiba sicho,wale waarab wanaolewaga na wenzao wenye pesa,sasa mbwembwe za kiba dem akaingia chaka kujua labda kiba ana fweza,kumbe kiba choka mbaya anakaa tabata kwenye ile nyumba ya pink pale .ahhahah,dem kaona huu use.nge
 
Mambo yao waachie wenyewe...

Kama hizi taarifa zitakua na ukweli, mke wa Ali Kiba angeomba ushauri kwa mbunge wa kisarawe kwanza...


Cc: mahondaw
 
Kupata habari za ndani za KIBA ni ngumu KAMA KUTOA BIKRA KWA ULIMI...pole bt ahsante kwa kutuchangamsha dada.
 
Yul dogo upstairs hayupo vizuri..na ndomana kutunga mistari konki ni shida kwake...kuimba anajua
Hiyo ndo mistari konki inaishi miaka mia...siyo habari za kanyaga mawifi kunguru pori
Fujo%20za%20_Kanyaga_%20huko%20%40itunes.se%20-Kenya%2C%20No1%20on%20spot.%20%20Lakini%20huyu...jpeg
 
Back
Top Bottom