Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mtoto wako ukiwa unamuonya kuhusu umalaya haimaanishi Na wewe ni malayaumelike post ya umbeya kisha uka comment kisha ukakandia.Uko sawa kichwani kweli?
Prof.kabudi ndio nani mkuu?inashangaza,kwenye jukwaa hili kuna majitu hayakauki kusoma umbeya halafu yakishamaliza yanajifanya kama yameukasirikia umbeya na kujinyesha kwamba wao ni watu serious sana wenye akili nyingi kumbe kama wamesoma sana utakuta ni wanafunzi wa profesa kabudi pale jalalani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulichoongea ni sahihi mkuuMkuu watu kama hawa wana gender yao inaitwa wavulana wa dar.
Yul dogo upstairs hayupo vizuri..na ndomana kutunga mistari konki ni shida kwake...kuimba anajuaRoma tenaaa maskini,ila kiba mpuuzi aluulizwa kwa interview akiwa na mkewe he ataongeza mke mbeleni et kajibu Hilo tuweke pending ,Kiume alitakiwa ajibu sina mpango huo na sitarajii,tatizo hana shule na hajishushi
Ni mawazo yake,nayaheshimu sioni umuhimu wa kumtukana wala kumsimanga.Na akileta uzi mnamtukana na kumsimanga
Ndomana kaitwa king kibamia mzee wa gubuyup king hataki mzaha jokate mwenyewe alifanyiwaga dharau akakoma
Demu wa kiba tulikua tuna count days tuu,sabab alichotegemea from kiba sicho,wale waarab wanaolewaga na wenzao wenye pesa,sasa mbwembwe za kiba dem akaingia chaka kujua labda kiba ana fweza,kumbe kiba choka mbaya anakaa tabata kwenye ile nyumba ya pink pale .ahhahah,dem kaona huu use.ngebasi ndo hivyo bana ALi kiba ndoa chali na Roma pia,haijajulikana mara moja sababu ya issue ya Roma ila kwa ali kiba ni kwamba mwana dada alichoka madharau ya king kiba kalalamika sana kwao mombasa akaamua kuomba talaka basi bwana king kaamua kumpa talaka tatu kabisa
Habari nyingine ni kwamba bwana majizzo sasa hivi anajisevia mtoto mzuri wa A town vee money haijajulikana mara moja kama yule mtangazaji wa kiume wa ile redio nanihii hataona wivu kama ule alikokuwa anaumuonea kistuli
UPDATE:: issue ya Roma inaonekana ni kiki sababu mwenzake stamina naye eti kagombana na mkewe so definitely anytime wanatoa nyimbo,kama kawaida ya upuuzi mpya wa bongo kwa sasa nyimbo haitoki bila kufanya maujingaujinga ya ku grab attention.
Mambo yao waachie wenyewe...
Kama hizi taarifa zitakua na ukweli, mke wa Ali Kiba angeomba ushauri kwa mbunge wa kisarawe kwanza...
Cc: mahondaw
Hiyo ndo mistari konki inaishi miaka mia...siyo habari za kanyaga mawifi kunguru poriYul dogo upstairs hayupo vizuri..na ndomana kutunga mistari konki ni shida kwake...kuimba anajua
HaiwezekanSema wee
Bi amina kaomba talaka?
Nyie ndio nawatakagaMwanamke pekee ndio anayeweza kuandika hivi,hata uwezo wako wa kutazama na kuichambua picha ni wakike tena single mother
Haiwezekan