JIJINI DODOMA : Viwanja vya kula bata na 'totozi' ni balaa…

Afu Dom iko overrated mwez wa sita nimefanya safari ya arusha via Iringa Dom nikalala hapo siku moja yaani mji hauna mishemishe pamepoa hata vity centre au cbd yenyewe haieleweki kiufupi Dom bado sana ila mji unakua as residential ila sio mji wa biashara
 



Bila kusahau Kisasa Capetown Lounge!!
 
Picha ya Toto's please
 
Una uzoefu huo?
Huwezi kuwa mwalimu mzuri hadi uambukizwe ili uwape mfano halisi unavyojisikia[emoji12]

Mkuu uzoefu tunaouongelea ni wa kujikinga nao, unahitaji kuprove kwamba wewe kweli umejikinga na hapo unawapa wenzio mbinu unazotumia kujikinga.

Swala la kuwa nao hilo litakuwa somo la jinsi ya kuishi nao, hii siyo topic inayotupeleka huko.
 
Sawa utanikuta, nitakutumia jina na namba ya mahali nilipofikia.

Na kwa sababu tutafundisha kwa vitendo nashauri tuchukue chumba kimoja kikubwa sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...mwanafunzi wangu sikuelew ujue
 
Mambo matamu siku zote hupatikana sehem nzur, Dodoma pazur siku hz.
 
dawa ni kuokoka au kula kwa macho tu kila mahali watoto wazuri wamejazana kazi ni kutafuta pesa ili wao wakutafute wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…