monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Mkuu,vinaitwa Mbuda!Sema vipochi manyoya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,vinaitwa Mbuda!Sema vipochi manyoya
Rafiki shikamoo
sio Lohoni ni rohoni
mda tu[emoji3]Ticha umeanza lini kutoa ushauri nasaha?
mda tu[emoji3]
Dodoma , the Central Corridor and City Capital of Tanzania…
Watu (wapyawapya) wako bussy na hekaheka ni nyingi sana kila kona ya Jiji la Dodoma. Hakuna kinachoshindikana.
Kuna mabinti wengi sana 'visu' toka Singida , Manyara ( Babati, Mbulu, Kateshi..) na Arusha (Meru) kwenye viunga vya 'kula bata' ndani ya Jiji. Watoto ni wengi sana kwenye 'lounges, clubs, pubs, local bars, restaurants, massage points na saloons za kike'!
Hapa nazungumzia 15 - 23 yrs old chicks!
Kamji kazuri . Barabara safi zilizopangika katikati ya Jiji na madhara safi kabisa.
Wageni ni wengi sana.
Ikifika jioni watu wanaanza kujisogeza ' Platinumz, Rainbow, Rose Garden, Maisha Club, Morena, Chako ni chako , African Dreams, n.k'
Dodoma mambo ni motoo…
Wasalam.
Karibuni Dodoma. Wagogo ni wakalimu sana.
sawa tangulia najaBasi twende Dodoma Ticha
Picha ya Toto's pleaseDodoma , the Central Corridor and City Capital of Tanzania…
Watu (wapyawapya) wako bussy na hekaheka ni nyingi sana kila kona ya Jiji la Dodoma. Hakuna kinachoshindikana.
Kuna mabinti wengi sana 'visu' toka Singida , Manyara ( Babati, Mbulu, Kateshi..) na Arusha (Meru) kwenye viunga vya 'kula bata' ndani ya Jiji. Watoto ni wengi sana kwenye 'lounges, clubs, pubs, local bars, restaurants, massage points na saloons za kike'!
Hapa nazungumzia 15 - 23 yrs old chicks!
Kamji kazuri . Barabara safi zilizopangika katikati ya Jiji na madhara safi kabisa.
Wageni ni wengi sana.
Ikifika jioni watu wanaanza kujisogeza ' Platinumz, Rainbow, Rose Garden, Maisha Club, Morena, Chako ni chako , African Dreams, n.k'
Dodoma mambo ni motoo…
Wasalam.
Karibuni Dodoma. Wagogo ni wakalimu sana.
Una uzoefu huo?
Huwezi kuwa mwalimu mzuri hadi uambukizwe ili uwape mfano halisi unavyojisikia[emoji12]
sawa tangulia naja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...mwanafunzi wangu sikuelew ujueSawa utanikuta, nitakutumia jina na namba ya mahali nilipofikia.
Na kwa sababu tutafundisha kwa vitendo nashauri tuchukue chumba kimoja kikubwa sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...mwanafunzi wangu sikuelew ujue
Dodoma hakuna kituAfu Dom iko overrated mwez wa sita nimefanya safari ya arusha via Iringa Dom nikalala hapo siku moja yaani mji hauna mishemishe pamepoa hata vity centre au cbd yenyewe haieleweki kiufupi Dom bado sana ila mji unakua as residential ila sio mji wa biashara