JIJINI DODOMA : Viwanja vya kula bata na 'totozi' ni balaa…

Tumeshaingia zamani tushakuwa wenyeji ila wageni njooni kwa tahadhari Kipya hakinyemi japo kidonda
 
Mambo yote platnumz area C huwa sipendi baba watt akinambia twende pale maana wadada wa pale ni hatari wamefungashia vile hatari japo na mimi si haba😀😀🙂
 
Mambo yote platnumz area C huwa sipendi baba watt akinambia twende pale maana wadada wa pale ni hatari wamefungashia vile hatari japo na mimi si haba😀😀🙂
Mimi ninachopendea pale ile supu yao ya makongoro ... UkinywA huku unatazama wale baamedi walivofungasha doooh!!

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Kweli mkuu sumbawanga kuna bata wengi sana hata mayai ni bei rahisi kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani
 
hahahahha moyo ukua kwatuuu
Haha ila pale chako ni chako wamepaboresha sikuhizi mwanaume ukienda pale ukatoka ujasimamisha hata kidog basi wewe utakua na matatzio kama yule memba mwenzetu anaetaka kuwa mwanaume wa kwazna kubeba mimba africa

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Hatuji,we pambana na ukimwi kivyako,na unaikumbuka kweli dar,haaaaaah haaaaah we ushaolewa na serikali kubali yaishe
 
sijaenda bado toka wafungue papya. Kuna nini? Na nyie wanaume mnahamaga baa kuangalia misambwanda
 
Yah, pale ni pakusafishia macho tu

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Vile vile wa Dom wanataka kuja Dar, humuoni utapata taabu sana, anavyohangaika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…