JIJINI DODOMA : Viwanja vya kula bata na 'totozi' ni balaa…

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Dodoma , the Central Corridor and City Capital of Tanzania…

Watu (wapyawapya) wako bussy na hekaheka ni nyingi sana kila kona ya Jiji la Dodoma. Hakuna kinachoshindikana.

Kuna mabinti wengi sana 'visu' toka Singida , Manyara ( Babati, Mbulu, Kateshi..) na Arusha (Meru) kwenye viunga vya 'kula bata' ndani ya Jiji. Watoto ni wengi sana kwenye 'lounges, clubs, pubs, local bars, restaurants, massage points na saloons za kike'!

Hapa nazungumzia 15 - 23 yrs old chicks!

Kamji kazuri . Barabara safi zilizopangika katikati ya Jiji na madhara safi kabisa.

Wageni ni wengi sana.

Ikifika jioni watu wanaanza kujisogeza ' Platinumz, Rainbow, Rose Garden, Maisha Club, Morena, Chako ni chako , African Dreams, n.k'

Dodoma mambo ni motoo…

Wasalam.

Karibuni Dodoma. Wagogo ni wakalimu sana.
 
Dodoma siku hizi inakuja kwa kasi sana hata kama Dar itaendelea kuwa Dar tu ila hata ukiwa Dom huwezi boreka kwa kukosa viwanja vya maraha na kula bata.. in fact watu wengi sana wa Dar wapo Dom siku hizi huwezi kuingia mahali kama Rainbow ukakosa kumjua hata mtu mmoja unayemfahamu. Ntakuwa hapo tena mwisho wa mwezi huu
 
Dodoma , the Central Corridor and City Capital of Tanzania…

Watu (wapyawapya) wako bussy na hekaheka ni nyingi sana kila kona ya Jiji la Dodoma. Hakuna kinachoshindikana.

Kuna mabinti wengi sana 'visu' toka Singida , Manyara ( Babati, Mbulu, Kateshi..) na Arusha (Meru) kwenye viunga vya 'kula bata' ndani ya Jiji. Watoto ni wengi sana kwenye 'lounges, clubs, pubs, local bars, restaurants, massage points na saloons za kike'!

Hapa nazungumzia 15 - 23 yrs old chicks!

Kamji kazuri . Barabara safi zilizopangika katikati ya Jiji na madhara safi kabisa.

Wageni ni wengi sana.

Ikifika jioni watu wanaanza kujisogeza ' Platinumz, Rainbow, Rose Garden, Maisha Club, Morena, Chako ni chako , African Dreams, n.k'

Dodoma mambo ni motoo…

Wasalam.

Karibuni Dodoma. Wagogo ni wakalimu sana.
Ukuaji wa mji uende sambamba na huduma za ushauri na upimaji magonjwa ukiwemo UKIMWI.
 
Kuna maeneo ukienda kuna mademu wakali hadi unashindwa kujua uruke mrupo na yupi
 
Back
Top Bottom