Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Dodoma , the Central Corridor and City Capital of Tanzania…
Watu (wapyawapya) wako bussy na hekaheka ni nyingi sana kila kona ya Jiji la Dodoma. Hakuna kinachoshindikana.
Kuna mabinti wengi sana 'visu' toka Singida , Manyara ( Babati, Mbulu, Kateshi..) na Arusha (Meru) kwenye viunga vya 'kula bata' ndani ya Jiji. Watoto ni wengi sana kwenye 'lounges, clubs, pubs, local bars, restaurants, massage points na saloons za kike'!
Hapa nazungumzia 15 - 23 yrs old chicks!
Kamji kazuri . Barabara safi zilizopangika katikati ya Jiji na madhara safi kabisa.
Wageni ni wengi sana.
Ikifika jioni watu wanaanza kujisogeza ' Platinumz, Rainbow, Rose Garden, Maisha Club, Morena, Chako ni chako , African Dreams, n.k'
Dodoma mambo ni motoo…
Wasalam.
Karibuni Dodoma. Wagogo ni wakalimu sana.