Jike shupa afumaniwa mwezi Huu mtukufu

Jike shupa afumaniwa mwezi Huu mtukufu

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Mwanadada aliyepata umaarufu kupitia kuwa video queen kwenye ngoma ya nuhu mziwanda ya " Jike shupa" nakupachikwa jina Hilo na mashabiki wa mziki amejikuta matatani baada ya kufumaniwa na Mume wa mtu clip hiyo imekuwa ikisambaa sana mtandaoni na kujikuta anapigana na mke wa mtu baada ya kufumaniwa.

Mume wa huyo aliyefumaniwa akajitetea kwamba alienda kununua lotion kwa jike shupa wakati kiuwalisia Jike shupa hauzi lotion na kingine zaidi Jike shupa kakutwa akiwa na kanga moja.

Video imegoma kuiweka hapa ila kwa wale ambao mpo insta basi wawekeni wenzenu waone hiyo clip.
 
Video queen aliyepata umaarufu kupitia wimbo wa nuh mziwanda "Jike shupa' kupelekea mashabiki kumpachika jina Hilo.Siku ya Jana alifuniwa na Mume wa mtu.

Mume huyo akajitetea eti alienda kwa Jike shupa kununua lotion wakati Jike shupa kakutwa akiwa amevaa khanga moja.

Baada ya muda mfupi mke wa huyo Mume akaanza kupigana na Jike shupa.Tukio Hili limetrending Sana kupitia video clip mtandaoni.
 
Video queen aliyepata umaarufu kupitia wimbo wa nuh mziwanda "Jike shupa' kupelekea mashabiki kumpachika jina Hilo.Siku ya Jana alifuniwa na Mume wa mtu, Mume huyo akajitetea eti alienda kwa Jike shupa kununua lotion wakati Jike shupa kakutwa akiwa amevaa khanga moja.Baada ya muda mfupi mke wa huyo Mume akaanza kupigana na Jike shupa.Tukio Hili limetrending Sana kupitia video clip mtandaoni.
Sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wauza lotions hawaruhusiwi kuvaa kanga moja? Mimi naamini kabisa braza alikwenda hapo kununua lotion.
 
Video queen aliyepata umaarufu kupitia wimbo wa nuh mziwanda "Jike shupa' kupelekea mashabiki kumpachika jina Hilo.Siku ya Jana alifuniwa na Mume wa mtu.

Mume huyo akajitetea eti alienda kwa Jike shupa kununua lotion wakati Jike shupa kakutwa akiwa amevaa khanga moja.

Baada ya muda mfupi mke wa huyo Mume akaanza kupigana na Jike shupa.Tukio Hili limetrending Sana kupitia video clip mtandaoni.
unamaana gani kusema mme wa mtu?Amna mme wa mtu wote wadangaji tuu
 
Video queen aliyepata umaarufu kupitia wimbo wa nuh mziwanda "Jike shupa' kupelekea mashabiki kumpachika jina Hilo.Siku ya Jana alifuniwa na Mume wa mtu.

Mume huyo akajitetea eti alienda kwa Jike shupa kununua lotion wakati Jike shupa kakutwa akiwa amevaa khanga moja.

Baada ya muda mfupi mke wa huyo Mume akaanza kupigana na Jike shupa.Tukio Hili limetrending Sana kupitia video clip mtandaoni.
hata screen shot ya hiyo video ?? picha ni muhimu kuliko hizo stor

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom