Mwanadada aliyepata umaarufu kupitia kuwa video queen kwenye ngoma ya nuhu mziwanda ya " Jike shupa" nakupachikwa jina Hilo na mashabiki wa mziki amejikuta matatani baada ya kufumaniwa na Mume wa mtu clip hiyo imekuwa ikisambaa sana mtandaoni na kujikuta anapigana na mke wa mtu baada ya kufumaniwa.
Mume wa huyo aliyefumaniwa akajitetea kwamba alienda kununua lotion kwa jike shupa wakati kiuwalisia Jike shupa hauzi lotion na kingine zaidi Jike shupa kakutwa akiwa na kanga moja.
Video imegoma kuiweka hapa ila kwa wale ambao mpo insta basi wawekeni wenzenu waone hiyo clip.