Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeMtoto mkubwa aliyekuwa amebaki nae kafariki juzi. Hivyo kufanya wote waliokuwa kwenye hiyo ajali kuwa marehemu.
Hivi maana ya maneno kuwa "AJALI HAINA KINGA" ni nini?. Yaani huwa sielewi kabisa maana yake.Gesi imesha leta madhara kwa watu wengi sana,kikubwa ni kufuata masharti,yani hatutakiwi kudharau hata siku moja.Mara nyingi inatakiwa kabla ya kuwasha gesi milango na madirisha ni vizuri vikiwa wazi,ikishawaka ndio unashauriwa kufunga,kingine ni kusikiliza harufu kabla ya kuwasha,ukisikia kuna harufu tu ya gesi usijaribu kabisa kuwasha chochote,Anyway ajali huwa haina kinga ila ni vizuri kuchukua tahadhari kila inapobidi...