RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Unashauri wakae na mabomu mawili ndani?Mtungi ukifika unauweka chini kwa dakika kadhaa hata nusu saa utulie ndio unautumia.
Kimsingi unatakiwa kuwa na mitungi miwili, ukiwa unatumia m'moja hakikisha mwingine unagesi tayari. Huu unaotumia ukikata agiza mwingine kisha ule uliohifadhi uanze kutumika.