Jiko la gesi lilivyozima ndoto na uhai wa Familia ya Abedi Falhum Msangi

Jiko la gesi lilivyozima ndoto na uhai wa Familia ya Abedi Falhum Msangi

Mtungi ukifika unauweka chini kwa dakika kadhaa hata nusu saa utulie ndio unautumia.

Kimsingi unatakiwa kuwa na mitungi miwili, ukiwa unatumia m'moja hakikisha mwingine unagesi tayari. Huu unaotumia ukikata agiza mwingine kisha ule uliohifadhi uanze kutumika.
Unashauri wakae na mabomu mawili ndani?
 
Mimi ninavyosikia GESI YA SIKU HIZI HAILIPUKI HATA IKIVUJA! Niueni!
Wanashauri sehemu ilipo mtungi wa gesi au lile jiko pawe na hewa ya kutosha.
Mfano kama ni jikoni inapaswa kuwe na madirisha makubwa yanayopitisha hewa ili gesi ikivuja iwe inapotea,!

Sasa unakuta mtu kalock madirisha na milango yote hadi ya jikoni eti mbu wasiingie
 
Poleni sana mkuu.

Hoja yangu imeangalia zaidi uwasilishaji wa aliyeandika.

All in all Mungu awafariji wafiwa.
nimeangalia jumbe zako na jinsi unvyozipangua pamoja na jina lako umesababisha nimecheka wakati nikiwa na huzuni wa msiba huu.
 
nashindwa maneno ya kuweka kwa ajiri ya faraja nikabaki na kizungu tu RIP all.
 
Duu,ninampango kuacha kutumia gas niwe natumia umeme tu kupikia kwani kuna majiko yale ya touch screen yanafyonza umeme kidogo sana.
 
Si.mfahamu huyo Abeid lkn hakika alifanya jambo la ki baba sanaa alipookoa familia huku anaungua .R.I.P Abeid
 
Itapendeza zaidi ukiacha kabisa kutumia gas maanake hata hizo pipe zinaleta gas ndani na inaweza kuvuja kwenye jiko lenyewe ikawa ajali. Tumia mkaa tu.
Sarcasm au umemaanisha?

Safest ni induction cooker.
 
watu huwa wanachukulia poa sana mambo haya , kunahitajika tahadhari ya hali ya juu maana gesi ni balaa ikilipuka bomu lina afadhali hicho kishindo chake. Siku hizi kuna hata lickage detectors za gas.
 
Sarcasm au umemaanisha?

Safest ni induction cooker.
Sasa mtu analeta visingizio wakati tatizo ni uzembe wetu? Mtu kama huyu atumie mkaa tu maanake hata ndani ikiingia pipe kuna mzembe ataacha jiko wazi itavuja. Mimi niko na mtungi ndani naishi nao. Ni kuwa makini tu.
 
Nothing is fool proof if you are foolish enough.
 
watu huwa wanachukulia poa sana mambo haya , kunahitajika tahadhari ya hali ya juu maana gesi ni balaa ikilipuka bomu lina afadhali hicho kishindo chake. Siku hizi kuna hata lickage detectors za gas.
Mara nyingi gas huwa inavuja kwenye maungio ya pipe kuingia kwenye jiko na pipe kuingia kwenye regulator Kama ni mtungi mdogo basi burner na valve zimelegea Sasa haya yakitokea kama sehemu ina uwazi wa kutosha gas haiwezi kulipuka itavuja na kupotea kama hutagundua na ku fix tatizo gas itaisha mapema

Kufikia hatua ya kulipuka maana yake gas ilivuja muda mrefu na sehemu haina uwazi mtu akaja akawasha Moto bila kujali harufu inayosikika Kama mleta mada alivyosema.
 
Sasa mtu analeta visingizio wakati tatizo ni uzembe wetu? Mtu kama huyu atumie mkaa tu maanake hata ndani ikiingia pipe kuna mzembe ataacha jiko wazi itavuja. Mimi niko na mtungi ndani naishi nao. Ni kuwa makini tu.
Alafu unawekaje mtungi nje?

Je usalama uko nje ukoje? Sio lazima uibiwe lakini mtu akichezea ikatokea leakage hautolipuka! lakini utaisha mapema na wewe utajua kuna usalama kwavile mtungi upo nje.
 
Unajua kuwa gesi ni hatari alafu unakaa nayo ndani?
alafu unasema ajali inaweza kukutokea popote..
Jiko la umeme ni zuri na salama Zaid
Mjinga wewe acha uoga wewe ajali inaweza kukutokea popote pale cha msingi Ni kuwa makini
 
Unajua kuwa gesi ni hatari alafu unakaa nayo ndani?
alafu unasema ajali inaweza kukutokea popote..
Jiko la umeme ni zuri na salama Zaid
Mimi naishi chumba kimoja hapa Nina mitungi midogo miwili ile ya kilo 6 na mtungi mmoja mkubwa (high pressure) wa kutumia jiko la plate 2 na zaidi kwahiyo majiko yangu unataka niyaweke nje yaibiwee!!!
 
Back
Top Bottom