Jiko la gesi lilivyozima ndoto na uhai wa Familia ya Abedi Falhum Msangi

Mtoto mkubwa aliyekuwa amebaki nae kafariki juzi. Hivyo kufanya wote waliokuwa kwenye hiyo ajali kuwa marehemu.
 
Out of Topic, Matumizi ya gesi chenga Sana , inaweza kata usku ugali ndo umechemka , aisee hapo lazima ukombe mboga au ulale njaa
 
Hivi maana ya maneno kuwa "AJALI HAINA KINGA" ni nini?. Yaani huwa sielewi kabisa maana yake.

Kwamba mwanadamu hana uwezo wa kufanya ajali zisitokee hapa Duniani? Kwamb hana kabisa uwezo huo au ni nini? Naomba mwenye kufahamu zaidi anisaidie hapa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…