Jiko la gesi lilivyozima ndoto na uhai wa Familia ya Abedi Falhum Msangi

Kabisa, muhimu kuomba ulinzi wa Mungu kwanza ndipo yafate taadhari zingine. Hata Biblia inasema "Mungu asipoulinda mji walindao ukesha bure" dua ni muhimu Sana Ili kulinda nyumba dhidi ya majanga yote yaletwayo na shetani ikiwemo vibaka, wezi, wachawi maana wote hawa ikiwemo wezi uongozwa na shetani anaesimamia kitengo cha wizi.
 
Anacheza na adrenaline rush.
 
Nunueni majiko Yale automatic yanayojiwasha. Ukisikia harufu ya gas ndani usiwashe jiko kagua funga vizuri koki, fungua Milango na madirisha harufu itoke
 
tunapojenga majumba yetu tunapaswa pia kuzingatia majanga mbalimbali kama moto nk...

Either jiko liwe nje na chakula kipikwe huko then kiletwe sebuleni, na huko nje kwenye jiko mtungi wa gas ukae nje na piping ndio ziende ndani..
Kama una jiko la ndani ni vyema mtungi ukakaa nje na ndani ukaingiza piping za gas.

Wengi wetu tuna shida ya uelewa na matumizi ya hivi vitu hasa nyumba zenye watu wengi.....ni vyema ukachukua tahadhari .
 
Nunueni majiko Yale automatic yanayojiwasha. Ukisikia harufu ya gas ndani usiwashe jiko kagua funga vizuri koki, fungua Milango na madirisha harufu itoke

Yapoje hayo majiko yanaitwaje?
 
Yapoje hayo majiko yanaitwaje?
Kampuni ni nyingi Sana ,yapo Kama Yale ya zamani ya umeme sahani mbili ila hili ni Gas ina kabomba kameenda kwenye mtungi wa Gas
Ukitaka kuwasha unazungusha switch linawaka
 
Nunueni majiko Yale automatic yanayojiwasha. Ukisikia harufu ya gas ndani usiwashe jiko kagua funga vizuri koki, fungua Milango na madirisha harufu itoke
Mkuu majiko ya auto yanakuwaje mkuu hebu fafanua kidgo Kama una experience na uzoefu wake
 
Hiiiiih... Pole sana haikuleta Madhara mengine??
 
Hii stori kuna vitu havijakaa sawa. Huwezi kuwa umezingirwa na moto halafu uwe macho unaingia na kutoka.

Mtu aliyeungua kiasi hicho hawezi kuongea na kukupa stori namna hii.
Ume-note vizuri kabisa. Hii ni ya kutunga. Watanzani tunapenda sana kusimulia na kusoma story za majanga na vifo. Hii siyo bure. Ni kutokana na maisha tunayoishi ya shida. Wana saikolojia wanasema mtu aliye kwenye shida anaposikia kuna binadamu mwingine amepata janga kubwa zaidi yake hujiona ahuweni.
 
Ukiweza gas jengea nje, kama una uwanja wa kutosha jiko kuu na dinning lafaa liwe nje ya nyumba, nyumba ni kwa ajili ya kulala tu, wageni wanaishia nje kwenye garden
Nchi zilizoendelea ambako ndiko tunaiga kila kitu majiko yako sambamba na sebule na jiko ni sehemu ya nyumba ya kuishi. Ni kuchukuwa tahadhari tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…