Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Kuna au na yasiyo auto.But auto ni salama zaidiMajiko ya gas ya plate si ni automatic?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna au na yasiyo auto.But auto ni salama zaidiMajiko ya gas ya plate si ni automatic?
Kabisa, muhimu kuomba ulinzi wa Mungu kwanza ndipo yafate taadhari zingine. Hata Biblia inasema "Mungu asipoulinda mji walindao ukesha bure" dua ni muhimu Sana Ili kulinda nyumba dhidi ya majanga yote yaletwayo na shetani ikiwemo vibaka, wezi, wachawi maana wote hawa ikiwemo wezi uongozwa na shetani anaesimamia kitengo cha wizi.Kaka hizi ni dudra za mungu ,chukulia mfano ukishaweka mtungi wa gesi nje,je shoti ya umeme utaiweka wapi, je hujawahi kuskia nyumba imeungua kwa sbb ya hitilafu ya umeme, pia utaotoa nje umeme kikubwa ni kumuomba Allah azilinde familia zetu na Mali zetu,.Naunga mkono tahadhari ni muhim, japo alilolipanga Allah lazima litimie narudia lazima litimie tu.
Tena ya kupikia unapata bila shaka kabisa uhitaji kununuaDuu aisee choo kinatoa gesi
Wauzaji ujua kuuza tu na sio kutoaHili ndio kosa wengi hawalijui kutumia ile mitungi midogo
Washa kwanza kiberiti ndio ufungue gesi
Otheriwise mtakufa huku mnaona
Anacheza na adrenaline rush.Omba yasikukute.
Angeweza kuwa na roho ya kutokujali akawaacha hao wengine watatu ndani leo hii angekuwa hai but kama binadamu akiwaza ndani kuna mtoto ni damu yake kuna mke wake huyo h/girl unaweza kusema angeachana nae ila kwa utu na kama mwanaume unajiona unaweza kupambana.yapo mazingira yanamkuta mtu hata huo moto hausikii.
Mungu awahifadhi salama hao marehemu.
Nunueni majiko Yale automatic yanayojiwasha. Ukisikia harufu ya gas ndani usiwashe jiko kagua funga vizuri koki, fungua Milango na madirisha harufu itoke
Auto ilitaka kunilipukiaKuna au na yasiyo auto.But auto ni salama zaidi
Kampuni ni nyingi Sana ,yapo Kama Yale ya zamani ya umeme sahani mbili ila hili ni Gas ina kabomba kameenda kwenye mtungi wa GasYapoje hayo majiko yanaitwaje?
Mkuu majiko ya auto yanakuwaje mkuu hebu fafanua kidgo Kama una experience na uzoefu wakeNunueni majiko Yale automatic yanayojiwasha. Ukisikia harufu ya gas ndani usiwashe jiko kagua funga vizuri koki, fungua Milango na madirisha harufu itoke
Yapo mengi tu madukani yana plate 2 mpaka 3 huitaji kutumia kiberiti switch yake Ni automatic ukiwasha moto unawaka!Yapoje hayo majiko yanaitwaje?
Huitaji kutumia kiberiti tayari switch yake ni automatic yaani ukiwasha moto unawaka.Mkuu majiko ya auto yanakuwaje mkuu hebu fafanua kidgo Kama una experience na uzoefu wake
Elezea vizuri ili tujue ulipokosea umakini unahitajika ili kuepuka hatariAuto ilitaka kunilipukia
Hiiiiih... Pole sana haikuleta Madhara mengine??Mimi pia mwaka Jana niliwasha jiko la gas hizi za plate ili nipashe
Mboga,nikaweka sufuria la Mboga nikaenda sebuleni ile nafika tu nasikia mayowe jikoni Moto umefika kwenye Gypsum
Kuweni makini na Gas wakuu,ile yangu iliripuka yenyewe tu bahati nzuri Moto haufika mbali
Ume-note vizuri kabisa. Hii ni ya kutunga. Watanzani tunapenda sana kusimulia na kusoma story za majanga na vifo. Hii siyo bure. Ni kutokana na maisha tunayoishi ya shida. Wana saikolojia wanasema mtu aliye kwenye shida anaposikia kuna binadamu mwingine amepata janga kubwa zaidi yake hujiona ahuweni.Hii stori kuna vitu havijakaa sawa. Huwezi kuwa umezingirwa na moto halafu uwe macho unaingia na kutoka.
Mtu aliyeungua kiasi hicho hawezi kuongea na kukupa stori namna hii.
Kabla huhawasha gesi fungua mipango na madirisha kwa walau dk 15Kosa namba waliacha gas itoke kwanza ndipo wakawasha hii ni hatari sana gasi inakuwa ishasambaa nyumba nzima so ukiwasha tu kiberiti nyumba yote inalipuka.
Inatakiwa uwashe kwanza kiberiti ndipo uwashe gas
Nchi zilizoendelea ambako ndiko tunaiga kila kitu majiko yako sambamba na sebule na jiko ni sehemu ya nyumba ya kuishi. Ni kuchukuwa tahadhari tu.Ukiweza gas jengea nje, kama una uwanja wa kutosha jiko kuu na dinning lafaa liwe nje ya nyumba, nyumba ni kwa ajili ya kulala tu, wageni wanaishia nje kwenye garden