Jiko la gesi lilivyozima ndoto na uhai wa Familia ya Abedi Falhum Msangi

Gesi haiwezi kulipuka tu yenyewe bila ya sababu!! Wengi kwenye majiko ya plate huwa wanakosea kufunga pipes za gesi kitendo kinachopelekea gesi kuvuja.Pia maintanance hizo pipes za gesi kuna muda ukipita inabidi zibadilishwe na pia wengine utakuta jikoni kwenye jiko la gesi bado wanaweka majiko ya mikaa hii nayo ji hatari.

Mwisho kabisa ni kuwa unatakiwa u disconnect pipe ya gase kuzuia gesi isitoke mtungi kuja kwenye jiko pia hakikisha kiberiti cha gesi kipo kizima , majiko mengine unatakiwa ukandamize kiberiti ili kijiwashe ila unakuta mwingine hakandamizi kiberiti cha jiko,matokeo yake gesi inavuja tu na kuenea na pale anapokuja kukandamiza tena na kikawaka moto humlipukia.


La mwisho unatakiwa utumie pua yako kusense harufu ya gesi pale ambapo inapovuja.Gesi huwa ina harufu ya kipekee na ni rahisi kuitambua kama inavuja na haraka sana unatakiwa udisconect pipe ili mtungi usilete gesi kwenda kwenye jiko kisha ufatilie uvujaji umetokea mahala gani.
 
Tema mate chini mkuu. Ni haki Yako kuwa na doubt, lakini usiongee as if upo sure na kauli Yako.

Namfahamu huyo jamaa, na kilichotokea sio story.
Ok, vipi na nyumba yake iliungua? Vipi kuhusu furnitures? Maana kama ni mlipuko ndani naamini nyumba imeisha kama sio hivyo basi doubts zetu zinaweza kuwa sahihi
 
Hili ndio kosa wengi hawalijui kutumia ile mitungi midogo

Washa kwanza kiberiti ndio ufungue gesi

Otheriwise mtakufa huku mnaona

Ishu ni kuiacha Gesi kutoka muda mrefu labda nusu saa nzima ila sio hapo kwa hapo kuwasha Gesi kabla ya kiberiti sio kweli..
Tatizo ni kuisahau muda then Ndio uje uwache kiberiti na sio majiko yote ni ya kiberiti
 
Ishu ni kuiacha Gesi kutoka muda mrefu labda nusu saa nzima ila sio hapo kwa hapo kuwasha Gesi kabla ya kiberiti sio kweli..
Tatizo ni kuisahau muda then Ndio uje uwache kiberiti na sio majiko yote ni ya kiberiti
Ni kweli majiko yote si ya kiberiti.

Ulichokishauri ni sawa, ila jamaa yupo sawa zaidi.

Kwa majiko ya gesi yatumiayo kiberiti, unashauriwa uwashe kwanza kiberiti ndiyo ufungulie gesi.

Mtungi hujazwa kwa kuishindilia gesi at very high pressure, hivyo inavyofunguliwa gesi hutoka kwa kasi sana. Kitendo cha kuwasha kiberiti na gesi ishasambaa unaongeza uwezekano wa mlipuko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh🤔🤔🙄
Hatari sana!
 
Well, itakuwa valve ya mtungi ilikuwa inavujisha. Kwa kuwa gesi ya kupikia yenyewe kama yenyewe huwa haina harufu, imeongezewa harufu ya kama kitu kinachooza hivi ili uigundue inapovuja. Kwahiyo usiwashe jiko, wala sigara au kiberiti hadi harufu yote itakapoisha kisawasawa..
 
Kama mnataka silence muweke haya mabandiko huko nyumbani kwenu. Macho yanawezaje kuona ukiwa katikati ya moto unaungua? Tena unatoka nje na kurudi ndani ya nyumba mara tatu huku ukiwa unaungua.

Tumia ubongo wako vizuri.
Miaka ya 80s hospital moja inaitwa haydom hope ni mbulu huko mimi nikiwa natafuta elimu huko.

Ulitokea moto, chumba cha kuhifadhi mitungi ya gesi kilishika moto, means chumba kipo ndani ya majengo ya hospital.

Wagonjwa wapo wodini wapo walio mahututi kama unavyojua hosp.

Was bad thing ever and ever, mitungi ya ges inaungua ilianza kupasuka yaani inaruka juu inaenda kutua kusiko julikana

Bwana mmoja Mtumishi wa pale hosp jina limenitoka (RIP baba ) alijitosa ndani ya moto wa gesi, alifanikiwa kutoa baadhi ya wagonjwa.

Yeye huyu bwana aliungua sana sana, alikuja kufariki akiwa amelazwa hosp na anaongea.

Kama yupo anayekumbuka hiki kitu atasema.

Usiseme tu kwa kuwa hayajakukuta, huwezi acha mwanao aishie kwenye moto.

We talk through experiences mwanangu
 
pole sana mkuu. Kumbe ndio maana ulipotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…