Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Subhanallah. Hatari jamani mpk tutaogopa.Mimi pia mwaka Jana niliwasha jiko la gas hizi za plate ili nipashe
Mboga,nikaweka sufuria la Mboga nikaenda sebuleni ile nafika tu nasikia mayowe jikoni Moto umefika kwenye Gypsum
Kuweni makini na Gas wakuu,ile yangu iliripuka yenyewe tu bahati nzuri Moto haufika mbali
Kuna habari pia nilisoma kuna mdada na wtt wake wawili pia walikufa kwa moto. Alikuwa nje anawasha jiko la mkaa kumbe mtt mmoja yupo ndani anafungua gesi. Mama kamaliza kuoka mkaa nje ile anaingia na jiko Lake kufika mlangoni tu kukalipuka. Mtt mmoja alikuwa nje kuona mama yake anawaka na moto maskin akaenda akamvamia. Walikufa wote. Baba wa huyu dada kupata taarifa na yeye akaanguka kwa mshtuko na kufa pia.