Jiko la kuni tangu lilitumika miaka zaidi ya 100 iliyopita

Halafu katakuja kinyamkera hapa kataita nishati ya kuni ni nishati chafu
Hata China na Spain bado wanapikia kuni ila wanajenga mabomba ya kutolea moshi. Spain vijijini wanaishi kama Afrika ila wenzetu wamejiongeza kwa tiles na moshi hauchafui jiko.
 
Hapa bongo mtu anapata zabuni ya kusambaza mitungi ya gesi kisha ananunua airtime kwenye vyombo vya habari kuita nishati zilozowakuza ni nishati chafu. Nakumbuka mwaka mmoja wahindi waligeuza jeshi la polisi wakala wa kuwauzia mitungi ya zimamoto,yani mtungi uliokuja na gari ni kosa kukutwa nao. Mindset zetu ni janga la kitaifa !
 
Kuna dada aliniambia kijijini kwao wananunua kuni. Nilimuuliza hamkupanda hata miembe na mifenesi mpunguze matawi ili mpate kuni? Kuna wakati tullizembea sana kupanda miti pembeni ya nyumba zetu.

Tuwe wakweli Wa Tanzania wengi hawana kipato cha kumudu kutumia gas muda wote. Wengine jiko la gas lipo kusaidia siku za mvua na kwa dharura mfano wageni wa haraka.
 
Back
Top Bottom