Hata China na Spain bado wanapikia kuni ila wanajenga mabomba ya kutolea moshi. Spain vijijini wanaishi kama Afrika ila wenzetu wamejiongeza kwa tiles na moshi hauchafui jiko.Halafu katakuja kinyamkera hapa kataita nishati ya kuni ni nishati chafu
Mweee.. hivi ndio yale ninayoyaona ya 30k usd 😅 kweli ni mkataba mpaka wajukuu watatumiaView attachment 3120452
Mpaka sasa hivi bado wanayatengeneza ila ni ya umeme na gas . Brand inaitwa Smeg ni magumu sana. Ukinunua mpaka wajukuu watalikuta.
Hapa bongo mtu anapata zabuni ya kusambaza mitungi ya gesi kisha ananunua airtime kwenye vyombo vya habari kuita nishati zilozowakuza ni nishati chafu. Nakumbuka mwaka mmoja wahindi waligeuza jeshi la polisi wakala wa kuwauzia mitungi ya zimamoto,yani mtungi uliokuja na gari ni kosa kukutwa nao. Mindset zetu ni janga la kitaifa !Hata China na Spain bado wanapikia kuni ila wanajenga mabomba ya kutolea moshi. Spain vijijini wanaishi kama Afrika ila wenzetu wamejiongeza kwa tiles na moshi hauchafui jiko.
Kuna dada aliniambia kijijini kwao wananunua kuni. Nilimuuliza hamkupanda hata miembe na mifenesi mpunguze matawi ili mpate kuni? Kuna wakati tullizembea sana kupanda miti pembeni ya nyumba zetu.Hapa bongo mtu anapata zabuni ya kusambaza mitungi ya gesi kisha ananunua airtime kwenye vyombo vya habari kuita nishati zilozowakuza ni nishati chafu. Nakumbuka mwaka mmoja wahindi waligeuza jeshi la polisi wakala wa kuwauzia mitungi ya zimamoto,yani mtungi uliokuja na gari ni kosa kukutwa nao. Mindset zetu ni janga la kitaifa !