Jikoni leo na Zero IQ

Jikoni leo na Zero IQ

Vipi mzee baba msosi tayari mbona hakuna update
Mambo yalikua yante yante arifu bila kusahau bulubandi

Tushaosha vyombo.babulai
IMG_20190802_222041_3.jpeg
 
Hahah nimefurahije kwa huu uzi. Nikamkumbuka babe wangu wa zamani anapika yule dah, ila akishapika jiandae kusafisha jiko maana makorokoro utayakuta kila kona.
 
Mzee huwa tunaenda ligi usipocheki dogo anakupiga kete mi huwa simwangalii usoni

Huu mchezo nliuanzisha ili nmhamasishe kula maana alikua hali kabisa na hivi mama yake katukimbia ndo kabisa ila nlvyoanzisha huu mchezo hahaha dogo anacheza faulo kinoma yaani unaweza jikuta unalamba tu mikono sema ndo hivyo ndo upendo wa baba wenyewe
Mzee baba bila ata karibu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125] Viti vitamu unakula mwenyewe tu
 
Mzee huwa tunaenda ligi usipocheki dogo anakupiga kete mi huwa simwangalii usoni

Huu mchezo nliuanzisha ili nmhamasishe kula maana alikua hali kabisa na hivi mama yake katukimbia ndo kabisa ila nlvyoanzisha huu mchezo hahaha dogo anacheza faulo kinoma yaani unaweza jikuta unalamba tu mikono sema ndo hivyo ndo upendo wa baba wenyewe
Unamkomaza mtoto.
 
Back
Top Bottom