Jikoni leo na Zero IQ

Jikoni leo na Zero IQ

Atoto [emoji16]
IMG_20190722_225843_7.jpeg
 
Namkomaza nini mkuu

Mtoto wa miaka tano huyu

Alikuwa hali kitu yaani kila kitu hali anyway nadhani ni kutokana na kubadili mazingira alipokulia utotoni sio tz ila atleast sa hivi anajitahidi

Nafurahi kama baba
Basi ni vyema, atakuwa kakulia Burundi huyo[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
 
Mbona mboga imetoka vizuri sana[emoji780] Umepika wewe hii au mkeo, Nahisi amepika mkeo na alivyo kuwa anapika kazi yako ilikuwa ni kupiga picha tu, [emoji38][emoji38]
Mzigo mbona kawaida tu huo mkuu
 
Back
Top Bottom