Jikoni leo na Zero IQ

Jikoni leo na Zero IQ

Na mimi sipo nyuma kwenye hii sekta ya uchakataji[emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20190126_211013.jpg
 
Wakaka mnapika vizuri hadi mnatuzidi dah ,hivi mtatuoa kwelii for what sasa,karibia kila kitu mnafanya wenyewe tu, sifa hizo[emoji3] [emoji3]
Ninyi kuwaoa sio kwa ajili ya kupika tu.
-Ninyi ni faraja kwetu
-Ninyi ni ubavu wetu
-Ninyi ni miongoni mwa nguzo katika familia, familia haiwezi kuimarika kama nguzo zimepelea.

Kwa uchache ni hayo....
 
Back
Top Bottom