Jikoni leo na Zero IQ

Jikoni leo na Zero IQ

Hahaaa, kila siku wanazaliwa watoto wakali zaidi, kweli utatuliaje hapo [emoji3] [emoji3] ,sikutaki zerooo
Hao mimi sitakuwa ma muda nao kwa sababu l tayari nimeshapitia mama zao hivyo wao watakuwa kama wanangu tu nitawaheshimu.


Kubali basi nije na Posa Cash
 
Nakudharau tena, kama ulioa kisa upikiwe you are dead.
Kwani watu wanaoa ili wapate nini? Mbona wote waliooa wana michepuko? Halafu mtu akienda kuoa anasema ' nimekuja kutafuta jiko hasemi nimekuja kutafuta kitanda'
You are dead kama huna michepuko my brother.
 
Back
Top Bottom