Jikoni leo na Zero IQ

Hahah nimefurahije kwa huu uzi. Nikamkumbuka babe wangu wa zamani anapika yule dah, ila akishapika jiandae kusafisha jiko maana makorokoro utayakuta kila kona.
 
Mzee huwa tunaenda ligi usipocheki dogo anakupiga kete mi huwa simwangalii usoni

Huu mchezo nliuanzisha ili nmhamasishe kula maana alikua hali kabisa na hivi mama yake katukimbia ndo kabisa ila nlvyoanzisha huu mchezo hahaha dogo anacheza faulo kinoma yaani unaweza jikuta unalamba tu mikono sema ndo hivyo ndo upendo wa baba wenyewe
Mzee baba bila ata karibu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125] Viti vitamu unakula mwenyewe tu
 
Unamkomaza mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…