Jikoni leo na Zero IQ

Ninyi kuwaoa sio kwa ajili ya kupika tu.
-Ninyi ni faraja kwetu
-Ninyi ni ubavu wetu
-Ninyi ni miongoni mwa nguzo katika familia, familia haiwezi kuimarika kama nguzo zimepelea.

Kwa uchache ni hayo....
Ooh, you're a true definition of husband material,umeongea kwa busara mwenyewe [emoji106] , nimekuelewaa
 
Usimkatae ziro sasa, hicho ni kiwanda kinachojitegemea kinajiendesha chenyewe kwa faida kubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaah zero hata nipewe bure simtaki, mtu gani anachakata kila kilichopo mbele yake iwe chipsi, mapapuchi ya kila aina aargh[emoji3] [emoji3] ,kiwanda multipurpose hapana
 
Aaah zero hata nipewe bure simtaki, mtu gani anachakata kila kilichopo mbele yake iwe chipsi, mapapuchi ya kila aina aargh[emoji3] [emoji3] ,kiwanda multipurpose hapana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kadri unavyozidi kuchakata ndivyo unazidi kuzalisha bidhaa nyingi
 
ZeroIQ nimeshakudharau. Yaani umri huo kazi unayo tena nzuri halafu bado huna jiko?
Ama abdallah kichwa wazi hafanyi gwaride?
Wewe pia nimekudharau. Yaani mtu mkubwa hivyo unadhani ukiwa na kazi lazima uwe umeoa au kila asiye na mke sababu kuu ni Abdallah kichwa wazi hayuko vizuri.
 
Wewe pia nimekudharau. Yaani mtu mkubwa hivyo unadhani ukiwa na kazi lazima uwe umeoa au kila asiye na mke sababu kuu ni Abdallah kichwa wazi hayuko vizuri.
Wewe pia nimekudharau. Unawatetea watu wanaojipikia wakati madada zetu wamejaa mitaani
 
Ubarikiwe[emoji8][emoji8][emoji8]
Ninyi kuwaoa sio kwa ajili ya kupika tu.
-Ninyi ni faraja kwetu
-Ninyi ni ubavu wetu
-Ninyi ni miongoni mwa nguzo katika familia, familia haiwezi kuimarika kama nguzo zimepelea.

Kwa uchache ni hayo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…