Jikoni leo na Zero IQ

Jikoni leo na Zero IQ

Zero masufuria yako masafi, utakuwa msafi. Hongera chakula kinaonekana kitamu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji125] Umechelewa kidogo tu ungefinya na wewe
 
Siku nyingine nitawahi[emoji39]
Welcome siku nyingine jikoni kabisa ukimaliza kupika na kula msosi kinachofatia na kumla nani................! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125]
 
Kwamba mimi sijui kupika? Ipo siku nitakuspoil na misosi wewe utarudi kwenye hii post kuniomba radhi [emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Aiseeeeeeee
 
Welcome siku nyingine jikoni kabisa ukimaliza kupika na kula msosi kinachofatia na kumla nani................! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125]
Tuna[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom