Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mzee baba..unakula sembe??
π π π πkupigia simu mchakata chips alete na vipapatio
Hahaha
Kwani haiwezekani??
Watu wanazidi kuwa wabunifu kila leo
Kinavutia sana.. hongera mpishi
Yes ni karatasi.Hiyo ni tishu
Angalia vizuri
Tishu bhanaYes ni karatasi.
ππππTishu bhana
Ongera sana mkuu Toa Kitu makini kabisa [emoji16][emoji16][emoji16] Achana na wanaume wa mkoani wanaojifanya wagumu kushindia Dona na Mahindi ya kuchomaNdio nimeingia magetoni hapa
Mda si mrefu nachakata njegere,mchicha na wali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itabidi uweke uzi wa mapishi ya wanaume jf...huko wanaume tutakua tunafundishana mawili matatu hadi tuoeOngera sana mkuu Toa Kitu makini kabisa [emoji16][emoji16][emoji16] Achana na wanaume wa mkoani wanaojifanya wagumu kushindia Dona na Mahindi ya kuchoma