Jikoni leo na Zero IQ

Jikoni leo na Zero IQ

Afadhali siku moja moja ubadili upepo kama hivi sio kila siku mistori ya kugegeda tu!
 
Sipendi vyombo vya plastic kwanza ni ngumu kuosha hasa vikishik mafuta,chai haipoi haraka ishort nikiwekewa chai kwenye kikombe cha plastic naweza acha kunywa
 
Ndio nimeingia magetoni hapa

Mda si mrefu nachakata njegere,mchicha na wali
Ongera sana mkuu Toa Kitu makini kabisa [emoji16][emoji16][emoji16] Achana na wanaume wa mkoani wanaojifanya wagumu kushindia Dona na Mahindi ya kuchoma
 
Ongera sana mkuu Toa Kitu makini kabisa [emoji16][emoji16][emoji16] Achana na wanaume wa mkoani wanaojifanya wagumu kushindia Dona na Mahindi ya kuchoma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itabidi uweke uzi wa mapishi ya wanaume jf...huko wanaume tutakua tunafundishana mawili matatu hadi tuoe
 
Back
Top Bottom