Jikoni leo(sikukuu) na hazard cfc

Sky Eclat

Nimeona huu ujumbe mara nyingi saana....ukiona nyama inauzwa popote ikawa haina flies usiinunue maana watakuwa wametumia kemikali ya kutunzia maiti kufukuza flies.

Kuna ukweli juu ya hili....nimeshaharibika kisaikolojia nikiwa nakula nyama nakuwa siiamini amini....

Cc bbade Watu8

Mwenye kulijua.
 
Acha kumtisha asije badili mawazo huyo[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakusindikiza wewe apoo...

Unajua sio vizuri kwenda mwenyewe eeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…