Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
SAWA MKUU, ENJOY
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@Marianah?Dear unaniangusha.
Memba maarufu humu haumjui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ndio huyo
HahahahahahaMie mbona sikaribishwi jamani[emoji134][emoji134][emoji134]
Acheni uchoyo wanaume wa jf[emoji57][emoji57]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnapiga picha za dada zenu wakiwa wanapika alfu mnaleta huku
Hivi kumbe wewe sio maarufu eeehh...Dear unaniangusha.
Memba maarufu humu haumjui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ndio huyo
Ni wivu tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku hizi imekuwa fasheni
EwaaaaNakuja na hizi za nyongeZaView attachment 1179116
Ndio maana mimi hua nafuata machinjioni mwenyewSky Eclat
Nimeona huu ujumbe mara nyingi saana....ukiona nyama inauzwa popote ikawa haina flies usiinunue maana watakuwa wametumia kemikali ya kutunzia maiti kufukuza flies.
Kuna ukweli juu ya hili....nimeshaharibika kisaikolojia nikiwa nakula nyama nakuwa siiamini amini....
Cc bbade Watu8
Mwenye kulijua.
Hahaha kila hatua naonja..Ndio umedokoa ikabaki kidogo hivyo?
Una nini?Vyote uko sawa..tatzo ni huo mchicha blo.
Tunakuundia tume ya roho mbaya hadi uache kutumia lile jinaMie mbona sikaribishwi jamani[emoji134][emoji134][emoji134]
Acheni uchoyo wanaume wa jf[emoji57][emoji57]
HaahhahahaLeo humsingizii Swalehe?
Karibuni..wewe si utawahi kuondoka?Simtishi walaa
Nataka tuu awe salama, nakuja nae
Hahaha hakuna wadada wanapika kitimoto..kwanza hawajuiMnapiga picha za dada zenu wakiwa wanapika alfu mnaleta huku
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni wivu tu
Lazima niondoke naeKaribuni..wewe si utawahi kuondoka?
Bado tuu..haiivi..au gesi imeisha [emoji39][emoji39]