Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
- Thread starter
- #121
Hahahaha ungejua ugeni wenyew...Ila wanaume wakiwa na ugeni wanajua kujituma jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hapo hazard umeamka SAA 11 ukapiga deki , ukafua, ukaweka kila kitu sawa. Kitanda umetandika na nguo kabatini umepanga.
Umepika kama vile umesoma mapishi.
Ila sasa mkioa mnajidai hata kukata kata kitunguu hamjui.