Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Leo nina ugeni wa member mmoja maarufu hapa CHIT-CHAT na MMU nimeamua kumtengenezea mbuzi katoliki(kavu) na mazaga mengine.
Maandalizi
>Nyama kg 2
>Ndizi mzuzu
>Mchicha
>Tangawizi ,kitunguu swaum,chumvi,hilal motto,limao,
>Karot,hoho,tango,nyanya,kitunguu maji
View attachment 1179079View attachment 1179080View attachment 1179081
@Jollie vp? [emoji3]
Hahaha haweziNdiwooo
Leo utaweza kweli kuleta mrejesho??
Sasa ukishiba utalala wapiMimi sitaenda chumbani bhana[emoji23][emoji23][emoji23]
Simu inaisha chaji dear.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuwakilishe vizuri bana
Hahahahahahaha, maybe[emoji23][emoji23][emoji23] she got a point
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kajinga hakooo
Nenda serena pale au hyatt ingia jikon waangalie wanaondaa zile menyu halafu urudi hapa kubwekaSiku hizi naona imekuwa fasheni wanaume kutamba kwa kazi za kike.
Is it kwamba tumemaliza zetu, au ndo 50 50 ishaanza!
Ninachompendea demiss hanaga siri kama yeye ipo siku tu atakuja kuyasema [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hataki kufa na vitu moyoniMdogo wangu demis
EeehhhWewe si umekaushia simu yangu. Au nitaharibu mipango[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au ndio ww mgeni mwenyeweFunika chakula kitapoa...
Boda boda iko mbali sana
Na uroho wangu wooote hapa nimeshindwa mimiKimeivaa wakuu...
Ni mda wakusubiri ile kauli.."ngoja nimpe bodaboda uongee nae"[emoji1787]View attachment 1179153
[emoji23][emoji23][emoji23]Ninachompendea demiss hanaga siri kama yeye ipo siku tu atakuja kuyasema [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hataki kufa na vitu moyoni
Tatizo muda. Mtoto afike na kupika itakuwa saa 10 jioni.I thought angekuja kupika yeye, what has gone wrong people?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha hawezi
Kwenye sakafu[emoji23]Sasa ukishiba utalala wapi
Hatimaye umeonekanaHaha aina noma mzee baba ..fanya kweli japo jana tumechezea kichapo[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Simu inaisha chaji dear.
Ngoja niiweke kwenye chaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo ukija kuonja huachi...Na uroho wangu wooote hapa nimeshindwa mimi
Hahahahhaha hahahahah hahahahahahaha hahaha. Leo umeniamulia kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We noma, leo leo na mrejesho kabisaa...
Woyoooooo