Nitashukuru sana demiss!!Nitakukaribisha ule kwa machoo
Kabla ya kujua huko chini unapika nini ila huo ukataji wakaroti sio2. Tayari nyanya nimezimenya, karoti, hoho na kitunguu nimevikatakataView attachment 1177885
Ugali wote huu unamaliza peke yako?11. Ugali tayari umeiva na nimeupakua kwenye sahani tayari kwa kuliwa.
Karibuni sana tule ugali wa kibachela ambapo hakuna kuhoji hata kama haujaiva vizuri, ukizidisha chumvi kwenye mboga unauchuna na kula kibishi maana hauna wa kumuuliza kwa nini chakula kimekuwa cha namna hii kama wale ambao wana wake zao.View attachment 1177905
aika ndao,apetite yako inasoma mkuuKaribu mkuu tule ugali samaki
Utabishana na mkeo katika mapishiNiko mbioni kabisa mkuu