Jikoni na Mwifwa, upishi wa mboga(samaki)

Jikoni na Mwifwa, upishi wa mboga(samaki)

nayaweza ,wee upiki?

Ngoja nikujibu kwa picha....

IMAG1744.jpg


Ugali Dagaa na kabichi na pilipili ya kupika.
 
mkuu mboga haina wese
Wese lipo, huwa naweka wese kidogo. Wese likikolea linakata mzuka.

Labda fundi mwingine apike kwa umaridi halafu aweke wese jingi hapo mzuka hautakatika
 
Back
Top Bottom