Jikoni na Mwifwa, upishi wa mboga(samaki)

Jikoni na Mwifwa, upishi wa mboga(samaki)

Siku ya leo kwanzia chai(supu) hadi cha usiku huwa nakula bar mzeebaba...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa mlipa kodi mahiri
 
Wese lipo, huwa naweka wese kidogo. Wese likikolea linakata mzuka.

Labda fundi mwingine apike kwa umaridi halafu aweke wese jingi hapo mzuka hautakatika
okey mkuu nimechek list ya mahitaji skuona wese nkajua ni aina mpya ya mapishi
 
Safi sana mkuu. Umenikumbusha maisha ya geto nilivyokuwa chuo kabla sijamuoa shemeji yako.
Ahsante mkuu, ndio hatua niliyopo maana wewe ushaivuka kitambo
 
okey mkuu nimechek list ya mahitaji skuona wese nkajua ni aina mpya ya mapishi
Nilisahau kuiweka kwenye list ila kwenye maelezo kuna hatua nilipoitaja wese wakati nakaanga vitunguu, karoti na hoho
 
Back
Top Bottom