Jikoni na Mwifwa, upishi wa mboga(samaki)

Jikoni na Mwifwa, upishi wa mboga(samaki)

Mkuu kwa hii nguna kwanini wachawi wasikuchukue ukalime usiku wa leo tu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mara ya pili naona wajumbe mnakula chakula bila kinywaji, Shunie njoo wafundishe kuandaa ile juice ya maziwa!.. Me siijui jina!
 
Mara ya pili naona wajumbe mnakula chakula bila kinywaji, Shunie njoo wafundishe kuandaa ile juice ya maziwa!.. Me siijui jina!
Wajumbe hatutaki mambo mengi sana mkuu, muda hautoshi
 
3. Nimechemsha maji na kuloweka samaki waliokaangwa ili walainike.

4. Nimekaanga vitunguu, karoti na hoho kwa pamoja kwa mafuta hadi vikaiva kabla ya kuweka nyanya nilizokatakata.

5. Nimeweka nyanya nilizomenya na kukatakata(sina kifaa cha kusagia) kwenye sufuria yenye vitunguu, karoti na hoho vilivyoiva ili nipate mchanganyiko wa supu nyanya zitakapoiva.View attachment 1177890
Kazi ipoo una safar ndefu kujua kupika ww

Hizi samaki au dagaa nyanya zimesimama juu juu
 
7. Nimetia chumvi na kusubiri kwa dakika kadhaa hadi samaki waive pamoja na mchuzi/supu yenye mchanganyiko wa nyanya, karoti, kitunguu na hoho.

8. Sasa mzigo umeiva uko tayari kuliwa kwa chakula aina ya wali, ugali au chochote utakachoona kinafaa kuliwa kwa mboga hizi. hapa nitakula kwa ugali.View attachment 1177893
Hapa nakupa 0 ya 100
 
Yule uliempata hapa JF ulimpeleka wapi?
11. Ugali tayari umeiva na nimeupakua kwenye sahani tayari kwa kuliwa.

Karibuni sana tule ugali wa kibachela ambapo hakuna kuhoji hata kama haujaiva vizuri, ukizidisha chumvi kwenye mboga unauchuna na kula kibishi maana hauna wa kumuuliza kwa nini chakula kimekuwa cha namna hii kama wale ambao wana wake zao.View attachment 1177905
 
Unakula ugali peke yako au una mgeni pembeni?

Hongera kwa mlo bomba.
Acha kwanza tabia mbaya ya kuwashughulikia wenzako![emoji41][emoji41][emoji41]
raisi_wa_insta_B0-VpfuALoe.jpeg
 
Back
Top Bottom