Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Huu ugali uliisha na uliliwa na watu wangapi?11. Ugali tayari umeiva na nimeupakua kwenye sahani tayari kwa kuliwa.
Karibuni sana tule ugali wa kibachela ambapo hakuna kuhoji hata kama haujaiva vizuri, ukizidisha chumvi kwenye mboga unauchuna na kula kibishi maana hauna wa kumuuliza kwa nini chakula kimekuwa cha namna hii kama wale ambao wana wake zao.View attachment 1177905