Jikoni na Mwifwa, upishi wa mboga(samaki)

Ugali mkubwa sana huo unakula peke yako
11. Ugali tayari umeiva na nimeupakua kwenye sahani tayari kwa kuliwa.

Karibuni sana tule ugali wa kibachela ambapo hakuna kuhoji hata kama haujaiva vizuri, ukizidisha chumvi kwenye mboga unauchuna na kula kibishi maana hauna wa kumuuliza kwa nini chakula kimekuwa cha namna hii kama wale ambao wana wake zao.View attachment 1177905
 
Mm bado nakula kiporo napasha hap
Mwifwa tayari..chako bado
IMG_20190809_135024.jpeg
 
11. Ugali tayari umeiva na nimeupakua kwenye sahani tayari kwa kuliwa.

Karibuni sana tule ugali wa kibachela ambapo hakuna kuhoji hata kama haujaiva vizuri, ukizidisha chumvi kwenye mboga unauchuna na kula kibishi maana hauna wa kumuuliza kwa nini chakula kimekuwa cha namna hii kama wale ambao wana wake zao.View attachment 1177905
Huu ugali mweupe sana ndugu mjumbe??
 
Back
Top Bottom