MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,726
- 2,691
Kuwaza kesho yangu kabla cjafanya jambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UKo wapi my love😁Acha kujilengesha wewekisimi
😆😆😆sina watoto mkuu, ila nimekaa na watu wako rough sana hadi kichwa kilikuwa kinauma, naamini nikipata watoto nita adapt tuu kama wewe.Una watoto?samahani kwa swali hili.Nilikua kama wewe.Sasa baada ya kupata watoto naona nimeongea Hadi nachoka.Naweza weka kitu mahali baada ya muda mfupi Tu watoto wanahamisha.
Una hamu ya kupigwa Dudu? Km una hamu sema nikutumie Uber ikufuate ikulete hotelini nikupelekee motoUKo wapi my love😁
wewe ajira hutapata😂Udhaifu wangu ni kwenye kubembeleza, hii kitu siiwezi kabisa naona kama najipendekeza. Nikishafanya approach ya kwanza iyo ndio for once and for all, kwaiyo muhusika anikubalie au anikatalie hapo hapo, kama anahitaji muda wa kufikiria vizuri ombi langu basi akiamua kunikubalia yeye ndio anitafute kunipa taarifa lakini mimi siwezi kurudi tena.
Moja kati ya udhaifu unaonitesa sana huu... udhaifu umenipa madeni mengi ya ihari.Mimi siwezi kusema hapana, hata kama najua siwezi kutimiza jambo ninalo ahidi lakini bado naahidi na mwisho sitimizi.
Hujakutana na Mikasa mkuu
Udhaifu wangu mimi nikiona demu aMimi udhaifu wangu ni HARMONIZE SYNDROME yani mitakoo inaniua kabisa uuuwiiiii
Sasa ukipita mitaa yenye ombaomba itakuwaje.Mniombee tu, nina udhaifu mkubwa wa huruma, hata kwa watu nisiowajua. Nasaidia huu ni udhaifu wangu toka mdogo. Nikiona tu mtu ana uhitaji, pochi liko wapi. Na nisiposaidia nikiondoka nitasononeka usiku wote. Najiona nimefanya kosa kubwa sana. Sijui ni ugonjwa.
Wale wajanja wajanja sana, kuna mtu ukimuona tu unajua huyu anauhitaji. Kama leo nimerudi zangu toka dinner saa 4. Kwenye mataa mkaka wa kuuza Ice cream za Azam, bado kakomaa saa 4 naa usiku dah. Hapo labda hakuuza mchana sababu ya hali ya hewa. Naumia sijaweza msaidia, ila naamini Mungu atamfanyia njia tu.Sasa ukipita mitaa yenye ombaomba itakuwaje.
inaonekana Mungu amekupa moyo wa kusaidia.Wale wajanja wajanja sana, kuna mtu ukimuona tu unajua huyu anauhitaji. Kama leo nimerudi zangu toka dinner saa 4. Kwenye mataa mkaka wa kuuza Ice cream za Azam, bado kakomaa saa 4 naa usiku dah. Hapo labda hakuuza mchana sababu ya hali ya hewa. Naumia sijaweza msaidia, ila naamini Mungu atamfanyia njia tu.
Kabisa kuna wakati, unanunua kitu tu hata kama hukihitaji, utampa anayehitaji na chenji unamuachia. Tusaidiane kwa kidogo hikohiko. Angalau mwingine afurahi na aone anathaminiwa.inaonekana Mungu amekupa moyo wa kusaidia.
Kuna watu wanapambana, mpka hta kama ulikuwa huna mpango wa kununua kitu unaamua kumuungisha.
HixiMimi siwezi kusema hapana, hata kama najua siwezi kutimiza jambo ninalo ahidi lakini bado naahidi na mwisho sitimizi.
Sijawahi kumuacha Mungu wangu HILI NI HAKIKAKinatibika Mkuu, suluhisho ni kumrudia Mungu tu
Nautengeneza mwenyeweSawa Mr jr
Ulozi unaufuataga wapi Mwanga au same?
Pia huu udhaifu unaambatana na huruma, wakati mwingine unashindwa kukataa kumuahidi mtu japo unajua huwezi kutimiza ahadiMoja kati ya udhaifu unaonitesa sana huu... udhaifu umenipa madeni mengi ya ihari.